Hapa kosa langu nini????????

najua umesema wewe mkiristo ila naomba umjue Mungu zaidi ili akuondolee balaa hili, kama mimi ningewauliza hao wanawake kujja kuna nini
angalia kuwa hauna spiritual wife anayewafukuza hii inawapata sana watu kutokaa katika huusiano au kama umechawiwa

watu wengi wanajifaya wakisto na kukataa kuamini kuwa evil doers wamejaa around

huu ni ushauri wangu as inaweza kuwa ni spiritual problem

tafuta ufafanuzi zaidi

ubarikiwe
 
teh!Kiongozi mi nadhani unaokutana nao si wale wahitaji wa miguu mitatu kamili ndio shida inapoanzia hapo,hao ni wale wa miguu miwili na robo,so mkuu we fanya jitihada umpate yule mhitaji wa miguu mitatu kamili nadhani hapo huyo atakuwa mwenzio for life...so we chakachua kabla wajue habari ya miguu mitatu mapema kwani kosa lipo mitaa hiyo mkuu...

hapa nadhani ulikuwa unakazia suala la tubelight na sigara au barafu na kapipi. Ki2 compatibility na umuhimu wa kumechisha specifications zenu wawili
 
hapo kondoo wa bwana huna budi kuchovya chovya pakifaa ndo uoe kabisa vinginevyo utambebesha Mungu dhambi isiyo yake.
 
teh!Kiongozi mi nadhani unaokutana nao si wale wahitaji wa miguu mitatu kamili ndio shida inapoanzia hapo,hao ni wale wa miguu miwili na robo,so mkuu we fanya jitihada umpate yule mhitaji wa miguu mitatu kamili nadhani hapo huyo atakuwa mwenzio for life...so we chakachua kabla wajue habari ya miguu mitatu mapema kwani kosa lipo mitaa hiyo mkuu...

Duu haloo nashukuru kwa ushauri
 
View attachment 19736

Mimi ni Mtanzania ninaishi Lughombo Mwakaleli Mbeya, nimekuwa na bahati mbaya sana ya kukimbiwa na mke kila ninapokuwa nimeanza naye rasmi masuala ya unyumba, tena mbaya zaidi hata bila hata kuambiwa kosa langu. Mimi nimeshika dini hivyo sipendi kufanya mapenzi na mtu mpaka nitakapo kamilisha taratibu za kuoa, Naomba ushauri nakosea wapi? Kwasasa natafuta mke ambaye ataweka bayana mapungufu yangu ninapomkosea ili nipate nafasi ya kujirekebisha.
Mkuu nisaidie ku upload hiyo attachment, imegoma kufunguka
 
Back
Top Bottom