hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Magufuli inabidi atembelee migahawa yote inayouza chakula kati ya saa 2 asubuhi mpaka saa 6 mchana na saa 8 mchana mpaka saa kumi. Hawa wanakiuka mida ya kazi kwa kuuza chakula na kuwafanya watu waache kazi na kwenda kula mida hiyo. Tuheshimu mida ya kazi #HapaKaziTu