Hapa Kazi Tu

Naunga mkono hoja!....
 
Hapo no 3 hiyo treni ya Moshi aliifanyaje maana hata treni yenyewe jina lake kwa kiswahili sanifu ni Gari Moshi. Treni ya kwanza nchini ilijengwa na Mjerumani toka Tanga kwenda Moshi
Amefufua treni za Tanga-Arusha zilikua zimekufa,reli zilikua ni screpa tu.

Sasa tunaona treni zikipiga route daily,labda wahuni waziharibu tena
 
Japo kwa kabila ni Msukuma, ila mimi sio member wa the Sukuma Gang, kwasababu hili Sukuma Ganga ni fictitious group, it doesn't exist in reality.
P
Hilo kundi bado lipo sana ingawa ndiyo linatupa mateke yake ya mwisho kama farasi anaye kata roho.
 
Kazi ya kwenda haja siyo...tushaiona hiyo chief..cha msingi ujifute vizuri - harufu ya inyaaa
 
Magufuli alikuwa moja ya viongozi bora kabisa kuwahi kutokea hapa Tanzania. Style yake ya kuweka msimamo na kuongoza bila kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ilikuwa poa sana. Duniani kote, viongozi ngangari ndio wanaovusha watu wao sio bla bla tu.
 
Nilikuwa sijazaliwa wakati inasimama kufanya kazi, kwa hiyo sijui nani alisababisha! Ila namjua aliyeifufua ni Dr John Pombe Magufuli (Rip), Rais wa awamu ya tano.
Kutokuwa umezaliwa siyo execuse ya kutokujua. Hiyo ni hoja ya kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…