HAPA KAZI TU: Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yoyote

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
'ONE MEN SHOW NI HATARI'

Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.

Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.
 
Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula
SWALI langu ni je akiba ya hiko chakula Kwa siku nane ni kama tukigawiwa wote nchi Nzima. Au ni Kwa wilaya au mkoa fulani tu?

NA je haya maghala huwa serikali unanunua mazao Kwa wakulima au ina mashamba yake
 
'ONE MEN SHOW NI HATARI'

Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.

Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.

Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula
Mtakatifu keshasema "sitatoa chakula cha bure, watu wakalime"! Kwa hiyo hata kama SGR ikiwa na akiba ya kucover mwaka mzima, chakula chote kitabunguliwa na wadudu, bora kubaki patupu, maghala yafungwe na wafanyakazi wawe redundant ili azma ya watu kula chawa itimie! Mapenzi yake yatimie duniani kama mbinguni.
 
'ONE MEN SHOW NI HATARI'

Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.

Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.

Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula
Nani kakwambia dharura itatokea nchi nzima?
 
this is a very serious and sensitive issue to be discussed ..... no wonder because the "masters" have enough storage of food in their bankers .... its no more serious .....
 
'ONE MEN SHOW NI HATARI'

Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.

Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.

Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula
Eeee bana weee! Hapana kazi tu, amekula akiba yote ya chakula?
Sasa watoto aliotwambia tutotoe watakula nini?

Lakini nimemsikia juzi akitoa maagizo, tutumie mvua zinazonyesha kulima kwa bidii, tulimie meno ndio tutavuna ile kitu inaitwa "bumper harvest".

Wale wa Bukoba wataongeza na janga la njaa katika orodha ya majanga aliyoyaorodhesha Hapakazi tu.

Link Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Link2. ‪Rais Magufuli: Viongozi wa dini mnivumilie kwakuwa fedha zitaendelea kupotea hata kanisani...‬
 
nlitegemea wote mnaomshambulia uyu bwana mje na data za kutosha il tuwez kujadili thread yake kwa kina. kma kuna mwenye takwm sahih za maghala yetu atoe jaman 2jue kesho yetu
 
Back
Top Bottom