Hapa Germany Leo temperature iko 4°C mpaka ndevu zinaganda

Hapa Germany Leo temperature iko 4°C mpaka ndevu zinaganda

Kule n hatari sana mkuu
Mtu unatembea juu ya maji mito ilivyoganda. Halafu kunakuwa hakuna upepo au hata Barafu. Ukitema mate yanaganda. Akinamama wanavaa taulo hata wasipokuwa Appollo. Hapo hata sisi wagumu tulikuwa tunapaka mafuta maana mwili unakatika katika kama mtu amekuweka viwembe. Nimekumbuka mbali sana
 
Back
Top Bottom