Ety Seran haamini 😅Elfu 3 USD mkuu 🤣
Ety Seran haamini 😅Elfu 3 USD mkuu 🤣
Ukanda wa gaza😅 mbezi juu so cool🤗Hapa nilipo mbezi kimara mzigo unapiga 33 joto balaa
Wengine tuko tandahimba mwanang🤦🏽♀️Wapo ulaya hao tuwaamini tu 😅 si wengine tupo A-town ngusero
Haji manara acha zako, putin ange kugeuza sanamu la maonyeshoHapa kwa Putin ndio kabisa inasoma -0.45© mpaka mawazo yanaganda. Picha ya hizi takwimu nawaletea network ikiyeyuka.
Haji manara acha zako, putin ange kugeuza sanamu la maonyesho
mambo vp brother hajiView attachment 3555834
Mimi sio haji sheikh
Hata mm hapa Canada mzigo unasoma - 0.001©Hapa kwa Putin ndio kabisa inasoma -0.45© mpaka mawazo yanaganda. Picha ya hizi takwimu nawaletea network ikiyeyuka.
Germany yote ina 4°C sasahivi?Balaa tupu
View attachment 3555812
Huko n nomaHata mm hapa Canada mzigo unasoma - 0.001©
Ntaleta takwimu baada ya network kukaa Sawa mana Barafu zimefunika minara
Kama kawa tajiri kwema?mambo vp brother haji
Balaa tupuGermany yote ina 4°C sasahivi?
Basi na sisi huku Tanzania leo temperature ni 17°C
View attachment 3555836
Ni Germany mji ganiBalaa tupu
Umetumia njia ndefu sana kutaka Kutuambia / Kuturingishia kuwa kuwa Mwenzetu uko Ujerumani. Hata hivyo Kongole.Balaa tupu
View attachment 3555812