Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,476
- 2,651
Ni tafakuri njema kiasi kikubwa imenipa uelewaMti/kisiki ni CAG, mkata mti ni Ndugai, shoka ni dhana na mililongo anayotumia Ndugai kutaka kuukata huo mti ambao ndo CAG
Note: kovu la kukatwa la CAG lililopo upande wa pili, hiyo maana yake CAG keshapitiaga misuko suko zaidi ya hii so hiyo attempt sio ya kwanza
AndunjeMi kilichonichekesha hapo ni hiko kichwa,mashavu na tumbo la ndugai
Navyo vina material ya mtiMi kilichonichekesha hapo ni hiko kichwa,mashavu na tumbo la ndugai
Mwanangu wewe ni kichwa. Hongera Sana brother.Mti/kisiki ni CAG, mkata mti ni Ndugai, shoka ni dhana na mililongo anayotumia Ndugai kutaka kuukata huo mti ambao ndo CAG
Note: kovu la kukatwa la CAG lililopo upande wa pili, hiyo maana yake CAG keshapitiaga misuko suko zaidi ya hii so hiyo attempt sio ya kwanza
Sure.Note: ukubwa na upana wa mti unawakilisha elimu maarifa cheo na ugumu wa CAG kung'oka katika position aliyopo
Note: ukubwa na upana wa mti unawakilisha elimu maarifa cheo na ugumu wa CAG kung'oka katika position aliyopo
HahahahahaMi kilichonichekesha hapo ni hiko kichwa,mashavu na tumbo la ndugai