Hapa anamaanisha CAG ni mti au kisiki?

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,424
2,587
Wasalaam nimetafakari kwa uwezo wangu nimeshidwa kuelewa, hapa kipanya akimaanisha nini? Mti au kisiki? Naombeni mwenye uwezo kuchambua katuni anisaidie tafadhali na huyu mwenye shoka ni ndugai au serikali?
 
Attachments

  • download (1).jpg
    download (1).jpg
    9.6 KB · Views: 57
Mti/kisiki ni CAG, mkata mti ni Ndugai, shoka ni dhana na mililongo anayotumia Ndugai kutaka kuukata huo mti ambao ndo CAG

Note: kovu la kukatwa la CAG lililopo upande wa pili, hiyo maana yake CAG keshapitiaga misuko suko zaidi ya hii so hiyo attempt sio ya kwanza
 
Ni tafakuri njema kiasi kikubwa imenipa uelewa
 
Mti/kisiki ni CAG, mkata mti ni Ndugai, shoka ni dhana na mililongo anayotumia Ndugai kutaka kuukata huo mti ambao ndo CAG

Note: kovu la kukatwa la CAG lililopo upande wa pili, hiyo maana yake CAG keshapitiaga misuko suko zaidi ya hii so hiyo attempt sio ya kwanza
Mwanangu wewe ni kichwa. Hongera Sana brother.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom