Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,788
- 22,131
That's how blind they are! hii ndiyo inaifanya ccm kuendelea kupeta kila siku, badala ya kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi wameanza tena ushabiki wao kama kawaida, hawa jamaa wana akili zao za ajabu sana, baada ya uchaguzi utawasikia wanalalamika tume haiko huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Here we are in the visual ciycle again... Visual cycle inaanza pale mara baada ya uchaguzi i.e. Kupinga matokeo na kusema wameiba----matamko yanatolewa kuwa wapinzani sasa wataelekeza nguvu zote kwenye tume huru ya uchaguzi--------baada ya mwaka wanakuwa wamesahau--------wanaanza kutaja candidate anayefaa kuwavusha wapinzani-------------wanajipa matumaini kuwa safari hii ni lazima washinde-----------kampeni zinaanza na internet inajaa picha zikionyesha mafuriko ya mikutano ya wapinzani-----------uchaguzi unakuja wanashindwa-------------back to square one!
Sent using Jamii Forums mobile app