Hao ni masai tu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kwa mtu mwenye akili akiitazama hii picha atagundua kitu special kutoka kwa vijana wa kimasai hapo chini
FB_IMG_1546071662815.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamelipwa shilingi ngapi kwa hili tangazo? Nasikia kesho kutwa anaongea na BBC Brussel, muambie tu apitie nyuzi za jF uko uzi humu ulizungumziaga wakati flani Nyerere JK akiendesha kikao cha upatanishi wa Waganda baada ya Amin kuondolewa aliwaambia wapumzike kidogo wasikilize BBC. Kwa mshangao BBC ikawa inazungumzia agenda za siri za hicho kikao. Zimefikaje BBC? Ndipo pale Nyerere alipo sema wazungu wametushinda kwenye sayansi za anga sio hizi akili za kwenda na moja kichwani.
 
Watanzania tunamtaka tundu Lissu akipitishwa na chadema
Here we are in the visual ciycle again... Visual cycle inaanza pale mara baada ya uchaguzi i.e. Kupinga matokeo na kusema wameiba----matamko yanatolewa kuwa wapinzani sasa wataelekeza nguvu zote kwenye tume huru ya uchaguzi--------baada ya mwaka wanakuwa wamesahau--------wanaanza kutaja candidate anayefaa kuwavusha wapinzani-------------wanajipa matumaini kuwa safari hii ni lazima washinde-----------kampeni zinaanza na internet inajaa picha zikionyesha mafuriko ya mikutano ya wapinzani-----------uchaguzi unakuja wanashindwa-------------back to square one!
 
It's called "vicious cycle" not "visual circle"!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie na jiwe akafanye interview na BBC au cnn
Wamelipwa shilingi ngapi kwa hili tangazo? Nasikia kesho kutwa anaongea na BBC Brussel, muambie tu apitie nyuzi za jF uko uzi humu ulizungumziaga wakati flani Nyerere JK akiendesha kikao cha upatanishi wa Waganda baada ya Amin kuondolewa aliwaambia wapumzike kidogo wasikilize BBC. Kwa mshangao BBC ikawa inazungumzia agenda za siri za hicho kikao. Zimefikaje BBC? Ndipo pale Nyerere alipo sema wazungu wametushinda kwenye sayansi za anga sio hizi akili za kwenda na moja kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo haitusaidii kitu
Here we are in the visual ciycle again... Visual cycle inaanza pale mara baada ya uchaguzi i.e. Kupinga matokeo na kusema wameiba----matamko yanatolewa kuwa wapinzani sasa wataelekeza nguvu zote kwenye tume huru ya uchaguzi--------baada ya mwaka wanakuwa wamesahau--------wanaanza kutaja candidate anayefaa kuwavusha wapinzani-------------wanajipa matumaini kuwa safari hii ni lazima washinde-----------kampeni zinaanza na internet inajaa picha zikionyesha mafuriko ya mikutano ya wapinzani-----------uchaguzi unakuja wanashindwa-------------back to square one!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom