Hanstone wa "Iokote" yupo wapi?

Mbosso alikua ni msanii wa Yamoto tunamjua way back, haikuwa kazi ngumu sana kumuamini kuwa atafanya vizuri.
Aslay kweli aliibeba Yamoto ila Mbosso hatukuwa na wasiwasi naye saana kama ambavyo wengi wanawasiwasi na wazanii wapya kabisa.
Enock Bella hakuwa msanii wa yamoto band? vip wasiwasi ulikuwepo au haukuwepo ?na hali yake sasa ikoje
 
Kusema Mbosso alikua ana nafasi ya kuaminika kwenye game kirahisi kwasababu alikua Ya Moto ndiyo chuki???
Kichwa yako iko sawa-sawa kweli??
Kiujumla achana na hii Wewe unachuki binafsi na WCB hiyo ipo wazi ndo maana unachukia Sana Wasafi wakifanya Jambo zuri alafu unajifanya innocent.
 
Alikua ni msanii wa ya moto.
Akienda popote CV yake kuwa alikua ya moto lazima itajwe na ni rahisi kuaminika.
Makundi yanaficha mengi sana , baada ya kundi kuvunjika ndio mtajua uwezo wa kila mmoja , badae mtapata jibu kuwa wengine mliokuwa mnawaamini ni mizigo , na wale msio waamini wakawa ni Asset nzuri ,mboso na Enock wote uliiwaamini lakini mwisho Enock ni mzigo wakati Mario alieanza kama chipukizi sasa ametengeneza utawala wake
 
Kiujumla achana na hii Wewe unachuki binafsi na WCB hiyo ipo wazi ndo maana unachukia Sana Wasafi wakifanya Jambo zuri alafu unajifanya innocent.
🤣🤣🤣 hebu punguza jazba za kike mimi nafurahi kuona watu kama wewe mkiwa mnatokwa mapovu kwa vitu vya kishabiki.
 
Nimemuona kwenye kavideo kamepostiwa na tunda instagram leo

Labda tunda wa whozu anaweza akawa na majibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom