Acha uongo, Ali ni mtu wa kutamba mno ila realities on the ground zinamfanya ashindwe mambo mengine.
Na Nandi[emoji38], inaonekana mnawajua kupitia story za vijiweni.
Wana pesa za kubadilisha mboga tu, mngejua real life yao mngeona hata aibu kuwapa sifa wasizostahili.