Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,100
Maarufu kwa kuuza wachezaji,mwenyekiti ni mchezaji:what:
msanii kutoka somalia
Maarufu kwa kuuza wachezaji,mwenyekiti ni mchezaji:what:
Mwenyekiti wa kamati ya usajili na Friends of Simba Zacharia Pope,amejiuzulu vyeo vyote Msimbazi.Naona bundi ndio anaanza kulia kwa wazee wa libolo.
source:bin zuberyblog
Hao Yanga kombe la Tusker walibeba kutoka nchi gani na mwaka gani?hakuna timu yoyote iliyewahi kubeba kombe nje ya tz zaidi ya yanga.yanga imebeba kombe la kagame mara mbili na tusker mara moja
Kama ni makumbusho angeweka ile ya goli sita au mlishazisahau...Mmebaki kuwa kama Liverpool wazee wa makumbusho, history haichezi mpira!!
.....Unajua katika hali isiyokuwa ya kawaida klabu hizi Simba na Yanga wanayotabia ya kukurupuka katika kuteua viongozi... hawa simba kwa mfano huyu Kaburu na Hans Pope wamewatoa wapi... wamekuja Simba lakini mambo waliyoyafanya ni ujinga na kuchanganya klabu kwa kwenda mbele... hebu angalia tangu waje yeye na Kaburu... usajili ulivyokuwa wa kubahatisha wa kitapeli tapeli usiokuwa na uhakika....kama una kumbukumbu wamesajili nchi za Congo, Ghana, Ivory Cost, uganda, kenya, lakini usajili wao hakuna kitu... mimi binafsi nasema Nenda Nyange Kaburu... Nenda Hans Pope.... mmekuwa viongozi mliokosa busara na hamkuweza kabisa kuinasua klabu mahali ilipofikia na mmamua uamuzi wa busara... kuna watu wenye tamaa ya madaraka tu na sio viongozi na wengine wanastahili kuwa wadhamini na sio viongozi.... kuna viongozi wanaoujua mpira na fitina zake na kuna watu wasioweza kabisa kuwa viongozi badala yeke kuleta ubabaishaji na utapeli... Simba na Yanga kuweni makini na watu wanaokuja na magari na kunukia perfume kisha kuwapa hela ya kahawa ....
Mumfunge nani nyie YeboYebo?
Kaburu naye amejiuzulu,bado m/kiti wao atakuja na excuses kibao na longolongo wameshajipigia hela kibao za usajili kwa madau na mishahara fake wanakimbia.
Wajinga kweli waliwao,walikua wanaamini kwa vile wana vitambi sio wezi.
Libolo's SSC (Shimo Soft la Chee!!)Nyie ni Chagua Jibu Sahihi(a) LABOLO SPOUSE(b) LEBOLO SPOUSE(c) LIBOLO SPOUSE(d) LOBOLO SPOUSE(e) LUBOLO SPOUSE
Nyie ni Chagua Jibu Sahihi
(a) LABOLO SPOUSE
(b) LEBOLO SPOUSE
(c) LIBOLO SPOUSE
(d) LOBOLO SPOUSE
(e) LUBOLO SPOUSE
Hivi Simba iliwahi kuchukua kombe lolote nje ya mipaka ya Tanzania? Kuna mtu hapa nasikia anasema kwamba Simba haibebi kombe mpaka mashindano yafanyike hapa nchini? Kuna ukweli wowote hapa?