Mara ya kwanza tu unalalamika jaribu kama mara 3 kama mambo yakiendelea kuwa vilevile ongea nae uone utamsaidia vipingugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje