Ukioa hilo ndo tatizo la Kwanza kubwa
Sasa lapili akipata mtoto hapo ndo hata ukimgusa utakuwa unamnajisi tu
Unadhani wanaume wanatembea na wanawake nje wakati mke Ana mimba au mtoto mchanga ni kwamba wajinga sanaaaaaaaaaaa hapana ni wanaendaga kupunguza hisia zao halafu wanakutana na Mambo matamu kupitiliza wanajisahau na kupotelea huko...
Ndugu yangu sio peke yako wametofautiana kidogo sana wote wanapenda mcheze cheze na mito na kuangalia movies pamoja ukileta hbr za sex wengi wao hawanaga mood mpk ajue umeanza kupenda mwanamke mwingine..
Mi nilitatua hilo tatizo kwa kumpigia tukio maana nilihisi alisahau kuwa Nina kaumalaya kdg basi nikatafuta mtoto wa chuo kimoja akahisi nimepiga bila ushahidi Toka siku hiyo yeye ndo anaanzisha sex mi sina mda kbs
Usifuate njia zangu sio nzuri
Wanawake, mwanaume akikosa sex inayojitosheleza huna Cha kumpa akaridhika Hunaaaaa na wala hujawahi kuwa na kitu Cha kumpa mwanaume akaridhika Kama sio sex toka Enzi na enzi mwanamke aliweza kumcontrol mwanaume kupitia good sex na sio kingine.Invest kumpa furaha kitandani uone utakavyoitwa malaika uone utakavyo Kula mema ya nchi Kila rahisi bila kutumia nguvu.
Mnasemaga wanaume hawarogeki embu tafuta mwanaume anayekupenda halfu Mpe good sex uone kama huo uchawi hautampata