Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,107
- 55,524
Mna watoto?Hatumii chochote kati ya hivyo mkuu,ngoja niendelee kumuhimiza japo nimeshaongea sana mpaka nahisi nachoka
Mna watoto?Hatumii chochote kati ya hivyo mkuu,ngoja niendelee kumuhimiza japo nimeshaongea sana mpaka nahisi nachoka
Wakuu nipo njia panda hapa, shemeji yenu ana tatizo moja sijui ni tatizo sijui ni kitu gani, yaani katika swala la tendo la ndoa hana muda kabisa yani
Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa huku natamani aanze maana kwangu mimi Mgegedo unaninogea kama wote tuna mood sio mimi tu ndo niwe na mood kila siku mpaka huwa najistukia sometimes visababu kibao eti amechoka ,Hili jambo huwa linaniumiza maana mimi ni moja ya wanaume ambao hatuna time na hizi mambo za kuchepuka
Nilishajaribu mara kibao kumweleza lakini mafanikio hakuna na yeye anaona yupo sawa tu wakuu nishaurini kwenye hili
Kama huna ushauri bora ukae kimya

... Sikia mkuu tafuta mchepuko afu nawewe uwe unamringia uone kama hajakuanzaMmmmmmhhhhhhsasa si uchepuke tu mkuu?
HahahaaaaaMwanamke ambaye anakusumbua kukupa papuchi wewe Kama huyo wako..
Kuna mwenzio anaambiwa "Wewe tu ukipata muda niite"
Bakia njia kuu tuHilo wazo mkuu linakuja afu linakataa
Kama huyo dada ni mchaga sawa, huwa hawana nyege za dushee kabisa, sana nyege na hela, mguse na hela zitapanda kila sikuWakuu nipo njia panda hapa, shemeji yenu ana tatizo moja sijui ni tatizo sijui ni kitu gani, yaani katika swala la tendo la ndoa hana muda kabisa yani
Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa huku natamani aanze maana kwangu mimi Mgegedo unaninogea kama wote tuna mood sio mimi tu ndo niwe na mood kila siku mpaka huwa najistukia sometimes visababu kibao eti amechoka ,Hili jambo huwa linaniumiza maana mimi ni moja ya wanaume ambao hatuna time na hizi mambo za kuchepuka
Nilishajaribu mara kibao kumweleza lakini mafanikio hakuna na yeye anaona yupo sawa tu wakuu nishaurini kwenye hili
Kama huna ushauri bora ukae kimya
Tianeni ujinga tu!Basi hali unayoipitia ni ya kawaida tu mpe muda atajirudi maana mapenzi yamehamia kwa mwanao sasa hv.
NB: mimi sijaoa ila nina rafiki yangu na yeye anapitia kipind km hik ila alipata ushauri na akaelewa.
Mpe karanga za iziraeli minyege iyakuwa kama yoteWakuu nipo njia panda hapa, shemeji yenu ana tatizo moja sijui ni tatizo sijui ni kitu gani, yaani katika swala la tendo la ndoa hana muda kabisa yani
Tunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa huku natamani aanze maana kwangu mimi Mgegedo unaninogea kama wote tuna mood sio mimi tu ndo niwe na mood kila siku mpaka huwa najistukia sometimes visababu kibao eti amechoka ,Hili jambo huwa linaniumiza maana mimi ni moja ya wanaume ambao hatuna time na hizi mambo za kuchepuka
Nilishajaribu mara kibao kumweleza lakini mafanikio hakuna na yeye anaona yupo sawa tu wakuu nishaurini kwenye hili
Kama huna ushauri bora ukae kimya
Na inawezekana pia jamaa hamfanyi vizuri huyo bibie so bibie haenjoy anajionea karaha tu!Hana hisia na wewe..... Hakuna kitu kitamu kama kukwichi na mtu mwenye uko na hisia nae, wala huchoki... Tena ukute mwanaume anakunyenyekea kwenye tendo kama mtoto mdogo
Na inawezekana pia jamaa hamfanyi vizuri huyo bibie so bibie haenjoy anajionea karaha tu!
Tuna mtoto mmoja miaka minne na tumeanza kuishi wote ni miaka miwili sa hizi
Nipe no yake au njoo naye kanisani kwanguHatumii chochote kati ya hivyo mkuu,ngoja niendelee kumuhimiza japo nimeshaongea sana mpaka nahisi nachoka
kama hatumii hata njia ya uzazi wa mpango na wewe utataka kila siku; mimba unazuiaje?Hatumii chochote kati ya hivyo mkuu,ngoja niendelee kumuhimiza japo nimeshaongea sana mpaka nahisi nachoka
Mmefunga ndoa?Tuna mtoto mmoja miaka minne na tumeanza kuishi wote ni miaka miwili sa hizi