Handsome anatafurwa dar

Kwa nini serikali ilipiga marufuku lile shindano ambalo mshindi wake alikuwa Masudi Sura Mbaya! Lina tofauti gani na hili.
 
Kumbe mwanaume mzuri lazima awe na maziwa makubwa makubwa?nilizani inabidi awe na hips ...nonsense.
 
lazima nitie maguu naona mnawapa sifa za kijinga na sioni kama ata nusu wananifikia hao wamekaa wafugaji tu,ningekuwepo mim apo warembo wa JF hakina preta etc wasingelala ,usiku wangeniota tu

tokelezea basi tukuone.....hao wametupa nafasi ya kuwaona....nawe tukikuona tutakupa sifa zako......wala choyo hatuna........
 
tokelezea basi tukuone.....hao wametupa nafasi ya kuwaona....nawe tukikuona tutakupa sifa zako......wala choyo hatuna........

ondoa shaka bibie. malaika, malaika, chocolate, miss etc nitaitupia picha soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…