Inategemea mapato yenu.Mara nyingi mkiwa na kipato kidogo sana inakuwa kazi kweli kwa maana kila mmoja anakuwa anatamani matakwa yake yawe ndiyo kipaumbele.Mfano mwanamke anaweza kutaka kurekebisha makazi yao ilhali mwanaume anaweza kutaka kwanza kusomesha ndugu zake.Hapo inakuwa kazi kubwa kukubaliana.Inapokuwa mna mapato ya kuridhisha na hamna shida ndogondogo, basi inakuwa rahisi kila mmoja ku negotiate nini kifanyike katika familia na hata wakati mwingine mwanandoa mmoja anaweza akafanya makubwa kwa niaba ya mwenzake.
Cha msingi lazima kuwe na moyo wa kujitoa na kuwa mwepesi kutumia kipato kwa faida ya familia.Kuna wanaume hawapendi kabisa mipango ya maendelea ya muda mrefu kama kujenga, miradi ya kiuchumi, kusomesha watoto shule nzuri na kadhalika.WATU KAMA HAWA KUPELEKEA KUWEPO NA VITA BARIDI kutoka kwa wake zao na hata imewahi kutokea wanawake wakaanzisha miradi yao ya siri bila mume kujua japo ni kitu kibaya.
Wapo pia wanawake ambao hawana mwelekeo mzuri kwenye matumizi ya rasilimali za familia.Hufuja au hata kudai watumie kwa vitu ambavyo pengine kwa wakati huo siyo muhimu sana.Wanawake wa namna hii huwa ni vikwazo kwa waume zao.
Unachotakiwa ndugu yangu ni kujipima mna uwezo gani, mwenzio ni mtu wa namna gani linapokuja swala la matumizi na uwazi, hii itakufanya kuamua uwe muwazi kuhusu mapato yako.
Uwazi nao wakati mwingine umewafikisha watu pabaya hasa wanawake- wengi wamejikuta wanaachiwa mzigo mzima wa kuitegemeza familia.
In short, its a balancing act ndugu yangu.
ndio maana u thank God for being a female mummy? hahhahaAhsante shishi kwa hii thread, maana tunaweza kujifunza vizuri mambo ya financial, haswa jinsi ya kushare mnapokuwa kwenye ndoa.
Mie niko mbioni kuja huko ndoani, ila huyu mwenzangu hataki nichangie kitu chochote, ananiambia yeye atabeba majukumu yote kama mwanaume. Mie hadi woga unanishika, maana kama kipato cha kuchangia ninacho, ila yeye anataka kufanya kila kitu. Je yupo sawa hivi kweli? Maana baadhi ya rafiki zangu wanasema eti ndio mwanaume mzuri, maana nitakuwa huru na pesa zangu. Lakini mimi najiona kama vile kuna walakini.
ndio maana u thank God for being a female mummy? hahhaha
well ur situation ni normal kwa baadhi ya wanawake.mine also.kuna baadhi ya wanaum e wanakuwa proud kuwahudumia wake zao 100% na wanafanya kutoka mioyoni kwao kwahiyo na wewe mpe chance ajiridhishe moyo wake ila pia tumia oppoturnity hiyo mummy kuweka mambo yako sawa kwasababu one thing i know abt men wakikuchukua jumlajumla most of them wanachange. sasa wewe weka mambo sawa sasa hivi hata akija kuchange baadae yako yashakuendea.
second scenario ni kwamba kuna wanaume wengine wanakwambia hivyo kwamba anataka ahudumie kila kitu but at the same time anakuangalia what do u do with your money? je zinaishia mariedo na shear illusion? au unafanya investiment za maana, tena kama huyo ambaye hajakuoa ndo kabsa anataka ajue anachukua mwanamke wa aina gani? wa kwenda salon ku-retouch 70,000 kama alivyosema fide or a woman with a plan in life?
mie wangu mpaka leo anaweka mezani every cent anayopata na haulizi yangu iko wapi.ni aibu zangu tu ndo na mimi naweka kipato changu kwenye budget but still ataniambia yangu nimwekeee mtoto kwenye account yake kwa kiasi tulichokubaliana kumwekea kila mwezi, nyingine nifanyie mambo yangu. lakini na mie nahakikisha nafanya hayo mambo yangu kwa faida yetu sote (waweza kununua kiwanja kwa jina lako kisha mnakiita chenu si imo pia au?)
Ahsante shishi kwa hii thread, maana tunaweza kujifunza vizuri mambo ya financial, haswa jinsi ya kushare mnapokuwa kwenye ndoa.
Mie niko mbioni kuja huko ndoani, ila huyu mwenzangu hataki nichangie kitu chochote, ananiambia yeye atabeba majukumu yote kama mwanaume. Mie hadi woga unanishika, maana kama kipato cha kuchangia ninacho, ila yeye anataka kufanya kila kitu. Je yupo sawa hivi kweli? Maana baadhi ya rafiki zangu wanasema eti ndio mwanaume mzuri, maana nitakuwa huru na pesa zangu. Lakini mimi najiona kama vile kuna walakini.
Lakini kwa wale wenye wivu kama akina MJ1 utaona anadai yeye mshahara wake hauguswi kila kitu mzee anamaliza hata za vocha ni mzee anamaliza hata za saloon ni mzee anamaliza.
Kweli hapa sisemi kitu namwachia shosty wangu mwanajamii one ajibu
.............. Unalo unalonitaka Fidel. Laiti ningekuwa na bahati hiyo.Lakini kwa wale wenye wivu kama akina MJ1 utaona anadai yeye mshahara wake hauguswi kila kitu mzee anamaliza hata za vocha ni mzee anamaliza hata za saloon ni mzee anamaliza.