Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,425
Reaction score
17,018
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
 
Walimu wangapi kwa idadi hawafundishi?
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Handeni kubwa mkuu...! Rudi kafanye tafiti upya au andika upya kwa ufafanuzi mzuri!
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Acha chuki ndugu. Hutaki walimu wafanye biashara angali mshahara wao tu hautoshi? Ama kweli wivu mbaya sana
 
WANANCHI WENGINE NUKSI SANA UTADHANI UNAPEWA TUZO YA NOBLE YA KUJITUMA KWAHIYO UNATAKA WALIMU TUTEMBEE NA SURUALI IMECHANIKA KWENYE MAKALIO NDO ROHO YAKO IFURAHI
Kama mshahara hautoshi siuache Tu kazi au goma Kwa uwazi watu wote waelewe kuliko kugoma kimyakimya?
 
anaandika tu kufurahisha genge...fani ya ualimu ni zaidi ya yeye anavyojua na mwalimu ana maisha yake tofauti na ualimu...mwalimu pia ni binaadam.
kama kuna mwalimu anachukua mshahala haingii darasani mtoa mada amtaje...
Ila swala la kufaulu ni watoto wenyewe hawana utayari
Wewe ndo ulikuwa unajiita Eddy Muhando, baadae Ukajiita Neema Muro..na saivi Prince Muhando.

Kweliiii moderators wana kazi
 
Wacha roho mbaya...kipindi wenzako wanasomea ualimu wewe ulikuwa wapi...? Endelea kufanya udalali wa ng'ombe na mbuzi nderema wacha walimu wapige pesa...kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake

We jamaaa umenikimbisha aisee. Haipoti jumamosi bila kwenda nderema.
Home sweat home HANDENI.
Ila huyo jamaa
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
tulia wewe ualimu nayo umeona ni kazi kwamba wasifanye mishe za kujiongeza watulie tu huko
 
Back
Top Bottom