bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360
Haikuwa kilaini ni kwamba ilibidi wajadiliane na familia ya Kiyeyeu othrewise wasingeweza kulihamishaKaburi lake lilihamishwa kilainiiii, kama kumtongoza malaya
Haikuwa kilaini ni kwamba ilibidi wajadiliane na familia ya Kiyeyeu othrewise wasingeweza kulihamishaKaburi lake lilihamishwa kilainiiii, kama kumtongoza malaya
Kipato kinachopatikana kwenye tourism kinaishia kwenye matumbo ya wapuuzi flani.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kakajambazi nafikiri mkuu wa wilaya lazima ajue je kama lilikuwa linatumika kwa sababu zisizo za kiusalama? sema amekuja mapema mno katika tukio. kwa sasa wanausalama na polisi ndio ilibidi wawe hapo kujua zaidi wakipata majibu ya kutosha ndio wanamuita katika eneo la tukio kuja kumuonesha ikiwa kuna la msingi kama hakuna la maana basi wanampa tu taarifa huko ofisini kwake.
Ukiacha kazi ya kuzuia mikutano ya chadema, hiyo ni kazi yake pia kwa sababu yeye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na pia Mjumbe wa KaMATI YA siasa ya Wilaya ya CCM.
una swali jingine?
Tabora kuna tunnel kutoka bomanni mpaka train statiion na watu wwanaogopa kufungua milango na kuangalia kuna nini..ni urefu wa kama kilometar mbili
Wanadamu hatuna jema. yaani mkuu wa wilaya ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya, sasa amesikia kitu cha namna hiyo kwanini asiende. Asingeenda mngeuliza kazi yake ni nini, ameenda, mnauliza kama hana kazi ofisini. Ubinadamu kaazi jamani!
They can be interesting tourists sites if we can be able to tell something about their origin and purpose. Who constructed them and why were they constructed. This would help to make them interesting to tourists. Otherwise, in their current state they may be of no use. I believe even the one discovered in Iringa will just end up being a sewage disposing pit.we should stop thinking of everything as "evilish", we should take some of the things positive. These underground chambers are can be found at least in every region in Tanzania, why cant we consider these to be tourism points, it sad that the one at Morogoro regional block has just been left to be a sewer, it has been used like that for more than 10 yrs and doesnt seem to require empting. Can you see such a mis use?, Soo sad.
Kwa hiyo ni nani wa kutolewa sadaka humo? Tukikutuma wewe uende utaweza? Tatizo na vifaa pia ni shida, kuna mapango ya Nyumba nitu yapo Njombe. Humo ni mna matambiko ambayo huwezi tu kuingia kienyeji. Watu kibao huwa wanakwenda huko hawatoki, hata wanaojiita ndiyo wamiliki wa hayo matambiko huwa hawawezi kuingia humo ndani. sasa wewe mtu baki tu unajiamini nini hadi ukubali kuingia humo? Ninafikiri kinachosumbua sana kwenye mapango mengi ya Kitanzania ni kuhusishwa na imani za kishirikina. Japo yalikuwa ni maficho mhimu sana kwa mababu zetu dhidi ya wakoloni, lakini sasa yamekuwa ni sehemu ngumu kwa mtu wa kawaida kuingia humo.yani sisi ni watu wa ajabu sana sana, kule tanga mapango ya amboni kuna sehemu mule ndani kuna shimo kubwa sana lina giza na pana tu eti hata wahusika wanaoelekeza watu hawajui kuna nini na lina urefu wa kiasi gani, basi wanakwambia hilo shimo ni refu sana na hatujui kuna nini ila mzungu alingangania kuingia akafa na mbwa wake akatokea arusha!!!!! yani ni mambo ya ajabu na ya kijinga wangekuwa wenzetu wangesha pekenyua na kujua yaliyomo kwa undani. hata haya tunamsubiri mzungu aje kutuvumbulia? wakikuta kuna madini je wataacha kuchukua?
sisi sijui ni waoga au wajinga?
They can be interesting tourists sites if we can be able to tell something about their origin and purpose. Who constructed them and why were they constructed. This would help to make them interesting to tourists. Otherwise, in their current state they may be of no use. I believe even the one discovered in Iringa will just end up being a sewage disposing pit.
Ha ha, its no wonder that even the state house's tunnel is no longer in use. And it will not be amazing if you got informed that it has never been cleaned for years; and that snakes and bats are living in. That is how Tanzanians are?we might not no the purpose for them being constructed, but؛‎ for sure we know who constucted them, why is it that the one at the state house remains in use but leave others scattered all over the country for no use?.
Kaburi lake lilihamishwa kilainiiii, kama kumtongoza malaya
Gama kidhungu chako Mphhyuuuu! Hebu tuandike Kiswa tu wakuu! Huu sasa ni uchafu! Utafikiri Mulugo!!?
ni jina la raia wa nchi ya malaysiarangi nyekundu ndo nani vile.