Kitanzini pana historia mbaya, Palipokuwa na ule mti Wajerumani walioutumia kuwanyonga wapinzania wao. Viwanja hapo havina maendeleo na hapapendwe, pamelaniwa vile.
Ujenzi wa handaki unaonekana ni wa karibuni, cement inaonyesha. Inakuwaje handaki kwenda chini badala ya mshazari??. Nakubali ni la Majambazi kuficha vitu.
Ikidhibitika ni la kihistoria, tutakuja kufanya utalii hapo wakati tunaelekea kuona Fuvu na Kasri la Chifu kule Kalenga.
Wataarifu Wana Historia ofisi ya Isimila Stone Age Site