kakajambazi nafikiri mkuu wa wilaya lazima ajue je kama lilikuwa linatumika kwa sababu zisizo za kiusalama? sema amekuja mapema mno katika tukio. kwa sasa wanausalama na polisi ndio ilibidi wawe hapo kujua zaidi wakipata majibu ya kutosha ndio wanamuita katika eneo la tukio kuja kumuonesha ikiwa kuna la msingi kama hakuna la maana basi wanampa tu taarifa huko ofisini kwake.Utasikia Chadema hao.
Afu huo mkuu wa wilaya hana kazi za maana ofisini?
Kaburi lake lilihamishwa kilainiiii, kama kumtongoza malaya
Imani ni ki2 cha ajabu sanaMALAYA anatongozwa? makubwa wale wamshajitongoza.huwa wanasubiri maelekezo.
Ukiacha kazi ya kuzuia mikutano ya chadema, hiyo ni kazi yake pia kwa sababu yeye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na pia Mjumbe wa KaMATI YA siasa ya Wilaya ya CCM.Utasikia Chadema hao.
Afu huo mkuu wa wilaya hana kazi za maana ofisini?
Picha zinaonyesha shimo la choo lol!
Ukiingia ndani kwenye hilo shimo unalooita la choo, upande. Mmoja kuna muendelezo ulimpana na chumba kinachoendelea.Sijaona handaki pale ni shimo la choo tu!!!
Wanadamu hatuna jema. yaani mkuu wa wilaya ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya, sasa amesikia kitu cha namna hiyo kwanini asiende. Asingeenda mngeuliza kazi yake ni nini, ameenda, mnauliza kama hana kazi ofisini. Ubinadamu kaazi jamani!Utasikia Chadema hao.
Afu huo mkuu wa wilaya hana kazi za maana ofisini?
Kwa sisi ambao hatukusikia hiyo brekingi nyuzi, haijatuboa.... Usijifikirie wewe pekee, tupo wengine pia...Weka Picha bwana sie wenyewe tumeona hyo breaknews hatujaanzisha uzi coz hatuna picha sasa na wewe unaanzisha bila kuleta picha its really boring......
Ukiingia ndani kwenye hilo shimo unalooita la choo, upande. Mmoja kuna muendelezo ulimpana na chumba kinachoendelea.
Umeshawahi kuona muuundo wa mahandaki??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
lilikuwa la Mkwawa
Duh hivi yule KIYEYEU hajatulia tu huko kuzimu?