Hana hisia na mimi

Hana hisia na mimi

even the longest road has an end...!!! kuna divorce, mind you. so sooner or later, mtaachana

Daaah, kweli aisee.Kuna muda inabidi kuukunali ukweli.Dawa ni chungu lakini inaponyeshwa.
 
umeshindwa kugegeda wewe

Mmmh, sidhani. Kwenye hicho kipengele sina wasiwasi nacho. Ni fundi mzuri tu.Sina shaka juu ya uwezo wangu.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
oh! kama kafikia hatua hiyo mkuu.
ondoka tu..temana nae!
 
Daaah, kweli aisee.Kuna muda inabidi kuukunali ukweli.Dawa ni chungu lakini inaponyeshwa.

Binafsi naona kama vile wachangiaji wana complicate na kufikia conclusion bila kujua historia kamila ya tatizo.Awali ya yote unatakiwa ujue yaliyomsibu mpaka ikawa hivyo.Ulisha muuliza kwanini hana hisia na wewe tena? Inawezekana hajapata mtu ila imetokea hivyo kwasababu wewe kuna mahali unakosea,na kwa mantiki hiyo kama utaamua kumpotezea ndio utamfanya aende kwa mtu mwingine.Jambo lingine la msingi,mtu anaposema umpe muda haina maana usiwasiliane naye,mawasiliano ndio msingi wa mahusiano hivyo ukiyakatiza hasa ktk mazingira haya basi ujue ndio kwaheri.Nakushauri kaa naye chini muulize kiutaratibu imekuaje na mwambie awe muwazi kama kapata mtu then from there ndio utajua kama uachane kabisa
 
wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile). Katika kumuuliza vizuri akafungua kwamba hana hisia za kimapenzi na mimi. Hii hali imeniumiza, na nimebaki na maswali mengi kwa kweli. Je ni kweli kwamba mtu unakosa hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya yake!!?

nimempenda bure huyo bidada, amekuwa muwazi na mkweli amekuambia whether you take it or you leave it!! Wengi hawana ujasiri wa kumwambia mtu ukweli
 
Mkuu, hupaswi kuomba ushauri kwa hilo.
Huyo gf wako amekuambia ukweli na nijuavyo mimi ni Ke wachache wenye uwezo wa kufunguka kama gf alivyo kuweka bayana.
Hakuna zaidi ya kuachana nae na utafute wako mwenye atakua ana hisia za kulaliana na wewe. Hakuna ubishi kwamba huyo unaemuita gf wako lazima anae Me anaempa hisia wanapo laliana.
 
Juhudi hizi zinafaa wanandoa. Bora waachane tu! Unapepea majivu ili yawake?
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;

1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.

2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.

3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.

Kila la heri.
 
nimempenda bure huyo bidada, amekuwa muwazi na mkweli amekuambia whether you take it or you leave it!! Wengi hawana ujasiri wa kumwambia mtu ukweli

Usihuzunike mlikuwa unafundishana namna ya kuishi ktk mapenzi.tena ushukuru maana ndo Raha ya gf na bf amechoka kakwambia ukweli vipi ingekuwa mmefunga ndoa? Si ungeanza kuimba shamukwale asubuhi asubuhi.kaza msuli kijana
 
Mkuu, hupaswi kuomba ushauri kwa hilo.
Huyo gf wako amekuambia ukweli na nijuavyo mimi ni Ke wachache wenye uwezo wa kufunguka kama gf alivyo kuweka bayana.
Hakuna zaidi ya kuachana nae na utafute wako mwenye atakua ana hisia za kulaliana na wewe. Hakuna ubishi kwamba huyo unaemuita gf wako lazima anae Me anaempa hisia wanapo laliana.

Duuu, ngumu kumeza.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;

1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.

2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.

3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.

Kila la heri.

brilliant, most pple huwazaga mtu ana mtu mwngine bila kuji diagnose first
mastekey: zngatia haya then ul know wats goin on.
 
Poleh...leave her alone for a while,sometime people jus need some free space to breath na kuwaza anataka nini
 
Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona dizain ameactivate "don care mode"

hyo kawaida kwenye mapenz kwa hapo we hakutak tena kama angekuwa anakutaka angeonesha upendo ila kwa hlo mpotezee utampata mzur zaid yake mkuu
 
Wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.Dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile). Katika kumuuliza vizuri akafungua kwamba hana hisia za kimapenZi na mimi. Hii hali imeniumiza, na nimebaki na maswali mengi kwa kweli. Je ni kweli kwamba mtu unakosa hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya yake!!?

Hapo ujue kweli hana hisia na wewe...Either yupo mwingine au wewe humfikishi vizuri anakuona tuu km kero fulani ukimtajia kuhusu mapenzi...Hilo pia linatokea ktk mahusiano...
Hasa pale ambapo mwanaume unakuwa unamfanyia mwanamke vitu ambavyo havipendi...mfano kumshika sehemu ambazo hapendi yeye...pengine akikupeleka mkono anapopenda yeye we huelekei, huelewi, ....Hufanyi anavyopenda yeye mkiwa kitandani...Basi hii hufikia mwanamke kumuona mwanaume km kero akitamka kuhusu tendo la ndoa sababu huhisi raha yeyote zaidi ni wewe mwanaume ndio unaefaidika tuu ktk tendo
 
May be, ila kama ndio hivyo basi kashagraduate coz alikuwa ni trainee kabisa na mm ndio nilikuwa mentor wake. I almost taught her everything alikuwa hana uzoefu kabisaa na mimi nilikuwa namvumilia tu pamoja na upungufu wake kitandani.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Changanya na zako hapa jf ci pa kupategemea sana. Tafuta chanzo utibu na sio kuacha
 
Wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.Dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile). Katika kumuuliza vizuri akafungua kwamba hana hisia za kimapenZi na mimi. Hii hali imeniumiza, na nimebaki na maswali mengi kwa kweli. Je ni kweli kwamba mtu unakosa hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya yake!!?

Ndo ushapewa jibu hivyoo..."Hana Mapenzi na Wewe"...Sepa!!
 
Back
Top Bottom