Wadau, nina girlfriend wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2.
Kwa miezi kadhaa sasa naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.
Dizain inabidi nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile).
Katika kumuuliza vizuri akafungua kwamba hana hisia za kimapenzi na mimi.
Hii hali imeniumiza, na nimebaki na maswali mengi kwa kweli.
Je ni kweli kwamba mtu unakosa hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya yake!!?