Hamza ni kama kijana Mohamed Bouazizi wa Tunisia

Hata Mimi siku wakinionea natafuta mabomu sio bunduki zinachelewesha. Hamza hakufikiri sana ila alipanik
Inakuwaje mtu utafute kwa tabu waje wakupukutishe kirahisi.
Sina roho ya Tundulisu kukimbia ila kwa kweli niko radhi niwalipe hata alshababu.
Nasema mtu yeyote asijecheza na hasira yangu na kama nchi inatafuta watu wachungu na haki zao wanitafute.
Sinaga huruma za kipuuzi na mmoja kufa kuwakilisha wengi busara pia
kwani dogo Hamza walimzulumu nn mkuu!?
 
Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.

Mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga kandamizi ya utawala.

Nasema bila yeye serekali ya utawala mbovu isingeondoka.

View attachment 1909587

Bado tunaona kwetu kwa kijana hamza !

Je, kuna vijana wangapi ambao wamechoka haya mambo serekali wanayo fanya kwa kutumia kukandamiza bila kutafuta kusaidia wananchi wake!

View attachment 1909590

Serikali iliyopo madarakani ushauri kwangu mimi!

Ifikapo 2025 mnaweza kuficha sura zenu kwa mifano tosha kuwa mjue mmechokwa!

Mnanikumbusha kuna kipindi nchi ya india serekali ilikuwa inafanya maisha ya sinema hii.

View attachment 1909595

Uiona tumefika level hizi za watu kujiamini japo nyengine zinafichwa kwa mambo ya kusingizia visa vengine.

Hitimisho: Ukiona nchi ya mwenzako ilishanyolewa kwa haya basi zako weka maji.
Ukiandamana unaitwa gaidi
 
Back
Top Bottom