Hamyambo bayamaa.

beatrixmgittu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
113
Reaction score
7
Ni matumain yangu mt wazima wa afya njema.Dhumuni la ujumbe huu ni kutaka kuwajulisha na mie huyu nimejiunga kikosini toka fasi za magharibi ya tz. Napenda kuwasalim wana jf popote mlipo. Wasalaam b.m a.k.a butombitombi.
 
Mhhh! Unanitisha. Anyway, karibu sana mgeni. Sijui weye watokea wapi weye, maana hiyo lugha yako, mmhhh
 
napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha ya kuwa unakaribishwa..
 
karibu kwenye hili jukwaa ila kuwa mwangalifu usije jikwaa
 
karibu sana mkuu, hapa ni mahali pazuri japo yapo maudhi, bali kuwa mvumilivu
 
Ni matumain yangu mt wazima wa afya njema.Dhumuni la ujumbe huu ni kutaka kuwajulisha na mie huyu nimejiunga kikosini toka fasi za magharibi ya tz. Napenda kuwasalim wana jf popote mlipo. Wasalaam b.m a.k.a butombitombi.

Hmmmmm! hilo jina lako la butombitombi matata sana hahahahahah nadhani litapata umaarufu mkubwa sana hapa jamvini LOL! Hebu nitumie dagaa wakavu kilo tatu, dagaa wabichi kilo tatu, matembele makavu ya kiasi, chupa mbili za maweze na migebuka michache kutoka hapo kwenu LOL! karibu sana jamvini BM a.k.a butombitombi hahahahahaa

kwi kwi kwi, usiogope BUTOMBITOMBI ni jina lenye maana nzuri . Dagaa tu mepata umesahau zambagiza na sombe. Thanx kwa ukaribisho.
 
kwi kwi kwi, usiogope BUTOMBITOMBI ni jina lenye maana nzuri . Dagaa tu mepata umesahau zambagiza na sombe. Thanx kwa ukaribisho.

Haya BUTOMBITOMBI nasubiri mzigo wangu ili nijinome, usisahau na unga wa kivunde hahahahahahaha kama utaweza kuupata.

Welcome butombibutombi,
Unatokea kigoma sehemu gani? Kazuramimba au uvinza?
 
Karibu mkuu rafiki unaweza kuchagua siyo jirani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…