Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila hiyana tukafika ndani mtoto akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku nikiangalia mda umesha tembea kwangu ni mbali kidogo nakwake unajua nini kilitokea
nikamwomba anisindikize ikuwezekana basi tukakubalia kulala pamoja kitandani lakini kwa sharti pasiwe na usumbufu nikakubali mtu mzima da amuwezi amini wa dau mpaka kulikucha.
Je ninani anaweza ivyo jamani?
angalizo mm ni mwanaume nilie kamilika kila idara binafsi nimeshindwa kuamini kilicho tokea

dah, umenikera sana. hata kumbusu????
Hupandi mtungo! Tulia, ondoa aibu hapa!
Aseee kweli siamin!!
Ulishindwa kabisa kuleta uchokozi?😕
betri down! acha kula viepe mayai ni tatizo kubwa hahaha
You all were in love,but wht happened is that you did not make any reliable preparations and you were afraid one another!
Ww kama jogoo apandi mtungi kuna kazi gani
Wanaume jamani?!....Huna mazoea naye...dada mtu mzima....sasa ulitaka umfanye nini? Na kilichokukalisha mpaka giza usiyeaga ukaenda zako ni nini? Kideo? Haya ungetoka kidedea na kugundua kumbe alishafiliwa na mumewe kwa maradhi yasio tiba ungekuja na hii sintoamini yako?
Siku zote matatizo mnayaita wenyewe.....
I hope that was unplanned, hata condom hukuwa nazo, ungeishia kuuza mechi na saivi ungekuwa kwenye presha kali na stress zakujutia uamuzi wako wa kudo bila kujua hatma ya afya yako! km mmependana bado mnanafasi nyingine. huna haja ya kujilaumu saivi, jipongeze Mkuu kwa kuepuka majanga!!
Hivi kumbe wewe ndio ulimwomba umsindize eeh! Halafu masaa yote hayo ni kideo tu ulikua unaangalia! Kazi kwelikweli
kwako huna kideo? eti akaniwashia kideo kuanzia saa 10 mpaka saa 2 usiku! ulivyoona kideo kimewashwa ukajua umewashiwa wewe, na kwa vile kwako hakipo ukakitumbulia macho hata kurudi kwako hukumbuki, ulitaka akufukuze, kwanza shukru huyo dada ni msitaraabu ningekuwa mimi nakuambia toka nikusindikize unatoka tu nafunga malango nalala utajua mwenyewe uende au unilinde hapo nje mpaka asubuhi. Vijana wengine ziro brain kabisa unaenda kwa mtu unakaa mpaka ufukuzwe, eti vijana hawa ndo taifa la kesho, sipati picha hivi kesho taifa litakuwaje! natamani ungenisindikiza mimi ungelijua jiji
umesahau kutuambia hata usingizi hukupata maana ulikesha macho
Kwa dada mtu mzima mbona ni kawaida ulimchukulia kama dada yako. Kumbuka bila hisia mashine haisimami.