Hamu ya kula chakula kila ..........

hKichaka

Senior Member
Apr 23, 2011
199
19
Jamani naombeni msaada wenu ,kila wakati najisikia kula chakula cha usiku hata kama ni mchana tatizo ni nini?ni mchmba but yupo mbali kuhusu kumwibia no kwa sababu naona ni dhambi kubwa sana kumsaliti mpenzi wangu.Nimejaribu kufaya mazoezi kuwa bize lakini bado jogoo mkali...
 
endelea kufanya mazoezi mazito yatakayokufanya mwili uchoke ,then ulale...
...epuka vishawishi vya ngono,kama kuangalia tamthilia za ngono,kukaa idle....
 
upoo pauline?
nna hamu na wewe..
 
Jamani naombeni msaada wenu ,kila wakati najisikia kula chakula cha usiku hata kama ni mchana tatizo ni nini?ni mchmba but yupo mbali kuhusu kumwibia no kwa sababu naona ni dhambi kubwa sana kumsaliti mpenzi wangu.Nimejaribu kufaya mazoezi kuwa bize lakini bado jogoo mkali...

una miaka mingapi?
 
jamani vijana tuacheni kujiendekeza, fanya kazi kwa bidii, hudhuria vikao na matamasha, watembelee marafiki, na uondoe mawazo ya ngono
 
Back
Top Bottom