Aaah mi nakuala hata nusu saa aiseeKatika vitu vilinishinda ni kula pole pole.
Kuna mtu anakula sahani ya wali dk 10+ hadi unajiuliza huyu mtu ni kibogoyo au?
Duuh sasa si hadi umalizie kinakua kishakua cha baridiAaah mi nakuala hata nusu saa aisee
chakula watu wengi nakaza nakula chap ila lzma niwe na maji makubwa pmbni hvhv napigwa knock out mpmaDuuh sasa si hadi umalizie kinakua kishakua cha baridi
Chakula ambacho nitakula muda mrefu labda tuwe wengi tunakula pamoja, ndio nitajikaza kuendana na mazingira.
Wewe utakua last born😀chakula watu wengi nakaza nakula chap ila lzma niwe na maji makubwa pmbni hvhv napigwa knock out mpma
😁😁 nadeka kidogoWewe utakua last born😀
Itabidi ubadilike kidogo.😁😁 nadeka kidogo
Hyo dk 30 huwa nakula nikiwa nmerelax mwenyew tu mageton tartbu ila kiasilia mm siwezag kula harakaharaka tu ndo nature ynguItabidi ubadilike kidogo.
Kama zilikua dk 30, fanya ziwe japo 20 basi
WW sio mkweli. 1. Inakuwaje inapokuwa ni chakula e.g. mihogo iliyopoa au viazi vitamu vilivyopoa? Au chakula cha moto e.g. Uji wa moto au chai ya moto? Iko siku utakabwa - chukua tahadhari.Jamani Wana jamii wenzangu nimekula natabia ya kula chakula kwa haraka . Unakuta natumia dakika hata Tano au saba kumaliza sahani ya chakula iliyojaa kwa mlo mmoja .Je hii Ina madhara kwa Afya au ni kawaida naombeni ushauri wenu.
SUBIRI KWANZA NIKOCOMMENT ALAFU NDO NISOMEJamani Wana jamii wenzangu nimekula natabia ya kula chakula kwa haraka . Unakuta natumia dakika hata Tano au saba kumaliza sahani ya chakula iliyojaa kwa mlo mmoja .Je hii Ina madhara kwa Afya au ni kawaida naombeni ushauri wenu.
Mimi sasa bora peke yangu spidi inakuwa ya kawaida,,,cha wengi ndio nakuaga kama nimevurugwa nabonyea kwa spidi isiyo ya kawaida!!!Duuh sasa si hadi umalizie kinakua kishakua cha baridi
Chakula ambacho nitakula muda mrefu labda tuwe wengi tunakula pamoja, ndio nitajikaza kuendana na mazingira.
Hahaaa kwaniniMimi sasa bora peke yangu spidi inakuwa ya kawaida,,,cha wengi ndio nakuaga kama nimevurugwa nabonyea kwa spidi isiyo ya kawaida!!!