Hamthamini tena kama zamani

Hamthamini tena kama zamani

mimi mwenyewe nilirudi nyumbani saa 7 ,na nilistuck kwenye foleni tu
 
Unaishi na mtu kiunyumba bila contract yoyote then akibadilika tabia unaanza kutafuta mchawi?..vere vere fani!!!
 
Unaishi na mtu kiunyumba bila contract yoyote then akibadilika tabia unaanza kutafuta mchawi?..vere vere fani!!!

Usinambie na girlfriend wako mko under contract! !!!
 
Nina contract na mke. Girlfriend hakuwahi kuishi kwangu...

Kwan umeambiwa anaishi kwake??just a visiting and leave, not marriage but some sort of marriage in terms of kuwa pamoja na kupikiana na kula pamoja some other days.
 
Back
Top Bottom