Hamthamini tena kama zamani

Hamthamini tena kama zamani

ni bora maumiv ya kuachwa kuliko maumiv ya ndoa ambayo baadae ukiweka plan b bado n tatzo bora aamue mapema kama n ndoa au akatshe mapema maan ndoa ya bola ifungwe huwa na majuto baadae gud luck
 
Juzi kweli usafir ilikua tatizo wengine hadi saa 7iliwakuta njiani
 
kosea vyote kwenye maisha ila usikosee kwenye ndoa mana atakumiza milele. Ndoa ili iwe ndoa lazima kuwe na mapenzi ya kweli. Na uhaminifu.
 
Hawajaoana halafu wanalala pamoja?

Halafu rafiki yako analalamika kwa nini mpenzi wake hakwenda kulala kwake...duh!!!
 
Hawajaoana halafu wanalala pamoja?

Halafu rafiki yako analalamika kwa nini mpenzi wake hakwenda kulala kwake...duh!!!

Soma tena mkuu nahs umesoma mstar wa kwanza ukamalizia wa mwisho
 
Mm nimefumania dem wangua anatiwaa kabisaa nikamsamehee sembusee huyoo am aye w mshikajii alirudii tu anaanukia pombee anashindwaa kumsa mee mwambiee embuu amsamehee mchizii.km mm nilivymsamehee uyuu wangu alikuwaa anatiwaa na kunikanaa mbelee ya mshikajii lkn baadae nikamsamehee
 
M we nawe zoba. Anatiwa kabisaaaa eti na wewe unamsamehe😎😎 au na wewe huwa unawapataga kwa shida sana ukaona zari la mentar lsiondoke
 
Mapenzi ya siku hizi bhana uchumba tu watu wanaishi kama wameoana kosa lipo hapo mwambie rafiki yako ampe space huyo jamaa. Maana inaonyesha wameanza kichokana kabla ya ndoa.
 
Mapenzi ya siku hizi bhana uchumba tu watu wanaishi kama wameoana kosa lipo hapo mwambie rafiki yako ampe space huyo jamaa. Maana inaonyesha wameanza kichokana kabla ya ndoa.

Hilo nalo neno
 
Sijaona kosa la jamaa hapo.nachokiona rafiki yako alizoea kumdrive jamaa anavyotaka.asipoangalia mwisho wa stori ya ndoa unakaribia.
 
Back
Top Bottom