Hamthamini tena kama zamani

Hamthamini tena kama zamani

Avatar yako nimeipenda kabisa, inaniacha hoi! Nzuri sana hongera
 
Inahitajika mazungumzo ya kina kati yao wazungumze na Kuweka bayana mambo ambayo yamebadilika kati yao yanayoleta mwingine kukwazika hilo likishindikana basi asilazimishe Maana ni afadhali uvunje Uchumba si Ndoa
 
Kama mtu unaona mahusiano yana matatizo ambayo maybe hamuwezi kuyatatua, kwa nini tu asisitishe huo uhusiano? Leo hii unahofia mkiachana ndugu sijui marafiki watasemaje, ameshawaza wakiachana baada ya ndoa itakavyokuwa?

Anaingia kwenye ndoa kwa sababu yupo tayari au kwa kuhofia maneno ya ndugu. Maisha ni yake, na hakuna anayeishi maisha ya mwingine. Sasa aamue leo kufurahisha ndugu au aje kulia for the rest of her life.
 
Avumilie tu. wala hajabadilika anaishi katika uhalisia wake.

Ni kweli na hapo ndipo rafiki yangu ana chukia. Mwanzo alimwambia yeye s mtumiaj sana wa pombe. Imagine akuache nyumbani kwake halafu anaenda kukaa bar kunywa pombe. Come woth a good answer ndugu
 
Kama mtu unaona mahusiano yana matatizo ambayo maybe hamuwezi kuyatatua, kwa nini tu asisitishe huo uhusiano? Leo hii unahofia mkiachana ndugu sijui marafiki watasemaje, ameshawaza wakiachana baada ya ndoa itakavyokuwa?

Anaingia kwenye ndoa kwa sababu yupo tayari au kwa kuhofia maneno ya ndugu. Maisha ni yake, na hakuna anayeishi maisha ya mwingine. Sasa aamue leo kufurahisha ndugu au aje kulia for the rest of her life.

Duh..umenifundisha mpaka mimi hapo aisee.
 
Inahitajika mazungumzo ya kina kati yao wazungumze na Kuweka bayana mambo ambayo yamebadilika kati yao yanayoleta mwingine kukwazika hilo likishindikana basi asilazimishe Maana ni afadhali uvunje Uchumba si Ndoa

Nitamshauri hilo, maana ana hasira na kuchukia juu. Ana lalamika kwa nn amuache yeye ndan kwake then akake bar anywe pombe
 
ni ww rafiki umepatwa na hilo janga?anyway mwambie rafiki avunje mahusiano hapo hakuna mume
 
tuko wengi wengine wanawake wanatusumbuwa wengine wakiume wanawasumbuwa khaaaaa hiii bongo bhana
 
Kazi ya moyo ni kusukuma damu kipenda ni kiherehere chake .... ...
 
Huu mtindo sugu wa kusema "kuna rafiki yangu" ilhali ni wewe sio poa
 
Akili za wanawake mnazijua wenyewe tu. Kumtambulisha tu mtu ni big deal kiiiivo hadi uteseke moyo.
 
Back
Top Bottom