Nakwambaia Bishanga utajibeba leo.........
Aiiiiiiiii, acha nicheke binti Kijakazi mieeeee
Kuanzia leo chit chat kwangu itakuwa sawa na sentro kama sio Isanga,sikanyagi tena. Mzee mzima nahamia jukwaa la siasa na thread yangu ya kwanza huko itakuwa na title:
TANZANIA BILA JAMII FORUMS INAWEZEKANA.
kudadadadeeeeeeki halafu mwambieni Zinduni nimemfungia safari namwendea Pemba!
asa we umeamua kutususa tufanye nini?Jamani jamani flo,hata wewe?