We nae,sawa huwezi sasa hata kuangalia picha aliyotundika unashindwa? Ama kweli ndo mana fom fo ulipata ef ef ef ef ef ef ......
Ole wako BT akusikie kama hajakuvua hilo wigi lako feki.Hilo kabati la mpingo au mpodo?
Bishanga amelivaa hilo kabati la kike lol
asije kuwa kaiba na shanga za BADILI TABIA
Chitchat bila Bishanga inawezekana. Hahahaha
Mzee, maamuzi haya ni matokeo ya rubisi au?Kuanzia leo chit chat kwangu itakuwa sawa na sentro kama sio Isanga,sikanyagi tena. Mzee mzima nahamia jukwaa la siasa na thread yangu ya kwanza huko itakuwa na title:
TANZANIA BILA JAMII FORUMS INAWEZEKANA.
kudadadadeeeeeeki halafu mwambieni Zinduni nimemfungia safari namwendea Pemba!
Si ndio unapenda yale makitu?
Au siku hizi hupendi tena?
Nakumbuka kipindi kile unasutwa soko la Tandale, uko kama Wema wewe hujielewi wataka bara au pwani.