hamnioni tena chit chat!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Kuanzia leo chit chat kwangu itakuwa sawa na sentro kama sio Isanga,sikanyagi tena. Mzee mzima nahamia jukwaa la siasa na thread yangu ya kwanza huko itakuwa na title:
TANZANIA BILA JAMII FORUMS INAWEZEKANA.
kudadadadeeeeeeki halafu mwambieni Zinduni nimemfungia safari namwendea Pemba!
 
Aha! bora ndoa za watu zitadumu
 
Kuanzia leo chit chat kwangu itakuwa sawa na sentro kama sio Isanga,sikanyagi tena. Mzee mzima nahamia jukwaa la siasa na thread yangu ya kwanza huko itakuwa na title:
TANZANIA BILA JAMII FORUMS INAWEZEKANA.
kudadadadeeeeeeki halafu mwambieni Zinduni nimemfungia safari namwendea Pemba!

ni furahaaa kotekote wanachit chat tunapofurahia kuondoka kwa BISHANGA chit chat inatuunganishaa ahaaa mbona raha na huko utatoka na manundu huku wastaarabu huko ukiwa huna fact ni kipigo tu
 
Vibuti vimekukimbiza au
Ntakufuata hukohuko...
Chit chat bila Bishanga.......
 
ni furahaaa kotekote wanachit chat tunapofurahia kuondoka kwa BISHANGA chit chat inatuunganishaa ahaaa mbona raha na huko utatoka na manundu huku wastaarabu huko ukiwa huna fact ni kipigo tu
Mwache akamtongoze Josephine Slaa aone moto wake
 
ni furahaaa kotekote wanachit chat tunapofurahia kuondoka kwa BISHANGA chit chat inatuunganishaa ahaaa mbona raha na huko utatoka na manundu huku wastaarabu huko ukiwa huna fact ni kipigo tu

Yanakutoka rohoni haya bebi wangu?
 
buriani...
naona umevuruga humu sasa unatafta VISU vya kwenye siasa sio?
ban inakunyemelea....sio bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom