donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Nyingine VR box hyo mkuuNimeweza kutambua savanna na kishikwambi mengine ni manini
Kiaina chakuzugia mkuuUko vizuri mzeiyaaa..naona kitu cha PS pale
Inafanya kazi gani hiyo mkuu!??Nyingine VR box hyo mkuu
Hiyo mkuu unapachika simu yako nakuweza kuangalia muviz ama kucheza game in 3dInafanya kazi gani hiyo mkuu!??
poaaKiaina chakuzugia mkuu
Mkuu savana kwa mwanaume kweli!!?
Mkuu tukiamua ngumu ni ngumu tu, ila tukiamua laini ni laini kwelMkuu savana kwa mwanaume kweli!!?
Sh.65 mkuuGear VR ni around bei gani kwa sasa.
Hahah mkuu sasa mkija wakuu si mtakaa chini?Mkuuu hivyo viti vya plastiki vipi???
Nataka kufungua grocery kitaani
Hahaaaaa
Inakubali simu zote hii mjuu, ni 65 elfuMkuu nimeilewa vr gearbox ni pesa ngap na itakubali katika Samsung Galaxy Note 4
Ipo bro ni dm tuuMkuu mimi naitaji nitapata wapi hiyo vr box