Hamna mtu atathubutu kuingia barabarani tena

Hamna mtu atathubutu kuingia barabarani tena

Scared

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,848
Reaction score
17,506
Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi mkae mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena

Sasa hivi kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu kila mtu afe na chake. Ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo tanzania na huna hata pistol utatekwa utapotezwa na hakuna atakaekukumbuka

Sasa hivi fuatilieni Kila mtu na maisha yake
 
Kila mtu afe na chake
 
Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuwawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi make mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi Kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu Kila mtu afe na chake ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo tanzania na huna hata pistol utatekwa utapotezwa na hakuna atakaekukumbuka maana Sasa hivi fuatilieni Kila mtu na maisha yake
hivi ni nyuzi za hivi tulisema tuwe tunawaignore sio? Ndugu zake akina tlatla na mwashambwa
 
Tar 29 mlisema hivi hivi, hamuamini kilichotokeaa! Kuna mipango mingi huko underground hasa diaspora, mind that kuna wanaokuja front, pia kuna wale wako kimya kimya lakn wako na plan zao !Mambo yamekuwa magumu sana, namuonea huruma sana hii miaka mitano itakuwa michungu kama shubiri
 
Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuwawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi make mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi Kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu Kila mtu afe na chake ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo tanzania na huna hata pistol utatekwa utapotezwa na hakuna atakaekukumbuka maana Sasa hivi fuatilieni Kila mtu na maisha yake
Mmh
 
Ndio shida ya nchi hii kiongozi anatakiwa kuwa rafiki na raia ila hapa Tz kiongozi ni kutengeneza ligi na kukomoana na raia.
 
Viongoz wa nchi hii wanachoweza ni kuua, kuteka na kukandamiza wanaowakosoa ili wajilimbikizie mali pasipo kupigiwa kelele.
 
Kwa nilivyoona tarehe 29 mpaka tarehe 3 watu kuuwawa na tuliaminishwa jeshi lipo na wananchi basi make mkijua hii nchi watu hawatoingia barabarani kuandamana tena Sasa hivi Kila mtu anasema kama kuiba acha waibe tu Kila mtu afe na chake ukijichanganya kujifanya mwanaharakati uchwara upo tanzania na huna hata pistol utatekwa utapotezwa na hakuna atakaekukumbuka maana Sasa hivi fuatilieni Kila mtu na maisha yake
Watu kuingia mtaani siyo kazi tatizo ni mfumo wa siku ya maandamano ...kuna aina za maandamano watu wanajikuta kwenye maandamano watake wasitake ...aina hii inaingiza dini zote vyama vyote jinsia zote umti wowote ...hapa inakuwa ngumu kwa makundi ya kigaidi ya kiislamu ya samia na abdul kutambua muandamanaji na mtu wa kawaida na kuweza kuwaua kirahisi kwa minajili ya dini....maandamano yanatakiwa yaanzie mjini siyo nje ya mji ...tena yawe ni siku za kazi siyo siku za mapumziko au sikukuu ...tena kukiwa na huduma ya usafiri full yani mabasi yote ya abiria yawe barabarani kama kawaida ...hiyo inamaanisha hiyo siku ipo active
 
Back
Top Bottom