Hamjajitokeza Mwaka Mpya. Mpo?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,263
Wadau wengi wa jf wamejitokeza mwaka mpya 2016 na kutoa salamu au kusema chochote kuwataarifu wana jf kwamba wapo.
Wadau wawili maarufu hapa jf sijawaona, hata kwenye rollcall ya charminglady hawakuwepo.
Ni Karucee, utafiti na Erotica. Mpo?
 
Back
Top Bottom