Ameona fursaHamisa alikua na urafiki na ex wa huyo H baba wa mbelezz Lira Galore, ameamua kujimilikisha?
Hadi nakuhisi we ndio waziri wa fedha, hapa ulianza kwa kupima upepo 😁Akimaliza kutuwakilisha huko tumpokee uwanja wa ndege kishujaa,
Na kama ikiwapendeza basi apate wilaya moja wapo Kwa kuanzia.
Kwakweli acha akamate fursa tu maisha yenyewe yako wapiAmeona fursa
Anatengeneza CV, sasa profile Ina Majizo, Diamond, Break the Price anaongezeka Rich Forever.Kwakweli acha akamate fursa tu maisha yenyewe yako wapi
Kishapewa alert na dada ake, dada mrija kasema huyo h baba wa mbelezz anagawa mimba....balozi asije jikuta anakua single mama kwa mara ya tatuAnatengeneza CV, sasa profile Ina Majizo, Diamond, Break the Price anaongezeka Rich Forever.
Balozi anataka kumrusha roho Break the Price, hayo ya mimba ni matokeo.Kishapewa alert na dada ake, dada mrija kasema huyo h baba wa mbelezz anagawa mimba....balozi asije jikuta anakua single mama kwa mara ya tatu
Itamtokea puani, hata kwa mondi alikua anarusha roho, hapa na pale roho kaenda kuidakia kisutu huko akidai child supportBalozi anataka kumrusha roho Break the Price, hayo ya mimba ni matokeo.
Rich Forever sijui atajiachia nae openly, maana balozi ana nyota ya kuwa side chick.Itamtokea puani, hata kwa mondi alikua anarusha roho, hapa na pale roho kaenda kuidakia kisutu huko akidai child support
Inafanana, umalaya wake sijauona, labda machoni kwako, umalaya kuzaa, acha azae yupo peke yake kwa mama yake, na Rick rose ukute Kiki tu na Wala sio bwana wake., Tatizo wivu, mwacheni mnyonge aandikwe USA.Tofauti mmoja kamfuata Yesu mwengine Rick Ross. So mifano haifanani.
Kwa hiyo Rick Ross kwa mfano wako anafanana na Yesu? Kufuru hiyo, huwezi linganisha mambo ya kiroho na maswala ya kimwili.Inafanana, umalaya wake sijauona, labda machoni kwako, umalaya kuzaa, acha azae yupo peke yake kwa mama yake, na Rick rose ukute Kiki tu na Wala sio bwana wake., Tatizo wivu, mwacheni mnyonge aandikwe USA.
Nilichomaanisha kuandikwa kwenye shaderoom, na kuhusu ukahaba, hata kahaba anasamehewa, na Rick rose Kama anampaisha, kutokana na Kaz zake, wivu kumwita kahaba, nasio kumpongeza, naona toka mwanzo hatujaelewana nilicho maanisha, tuache kuingilia nyuz za watu.Kwa hiyo Rick Ross kwa mfano wako anafanana na Yesu? Kufuru hiyo, huwezi linganisha mambo ya kiroho na maswala ya kimwili.
HahaHa
TU... Tupaja.. 🤣🤣🤣Akili za mange ni nyembamba kama tupaja twake
Nimuonee wivu kwa kitu gani? Yaani ndio wale wale mnajitamba kisa mmepiga picha na mzungu, ok lkn sawa kwani kwani kila mtu ana definition yake ya mafanikio.Ila husifananishe mambo ya kiroho na kimwili.Nilichomaanisha kuandikwa kwenye shaderoom, na kuhusu ukahaba, hata kahaba anasamehewa, na Rick rose Kama anampaisha, kutokana na Kaz zake, wivu kumwita kahaba, nasio kumpongeza, naona toka mwanzo hatujaelewana nilicho maanisha, tuache kuingilia nyuz za watu.
Povuuuuu....kama umalaya rahisi Fanya wewee!!!dah! huyu mal*ya anaendelea kupewa airtime tu... leo waziri wa njuruku kamtunuku ubalozi wa kodi... inawezekana "pochi manyoya" yake inaingiza pato kubwa sana la kodi
Bro mbona imekuuma hvo? mpaka nimeyafeel maumivu yako.., pole banaPovuuuuu....kama umalaya rahisi Fanya wewee!!!