Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

Anatengeneza CV, sasa profile Ina Majizo, Diamond, Break the Price anaongezeka Rich Forever.
Kishapewa alert na dada ake, dada mrija kasema huyo h baba wa mbelezz anagawa mimba....balozi asije jikuta anakua single mama kwa mara ya tatu
 
Tofauti mmoja kamfuata Yesu mwengine Rick Ross. So mifano haifanani.
Inafanana, umalaya wake sijauona, labda machoni kwako, umalaya kuzaa, acha azae yupo peke yake kwa mama yake, na Rick rose ukute Kiki tu na Wala sio bwana wake., Tatizo wivu, mwacheni mnyonge aandikwe USA.
 
Kwa hiyo Rick Ross kwa mfano wako anafanana na Yesu? Kufuru hiyo, huwezi linganisha mambo ya kiroho na maswala ya kimwili.
 
Kwa hiyo Rick Ross kwa mfano wako anafanana na Yesu? Kufuru hiyo, huwezi linganisha mambo ya kiroho na maswala ya kimwili.
Nilichomaanisha kuandikwa kwenye shaderoom, na kuhusu ukahaba, hata kahaba anasamehewa, na Rick rose Kama anampaisha, kutokana na Kaz zake, wivu kumwita kahaba, nasio kumpongeza, naona toka mwanzo hatujaelewana nilicho maanisha, tuache kuingilia nyuz za watu.
 
Nimuonee wivu kwa kitu gani? Yaani ndio wale wale mnajitamba kisa mmepiga picha na mzungu, ok lkn sawa kwani kwani kila mtu ana definition yake ya mafanikio.Ila husifananishe mambo ya kiroho na kimwili.
 
Hamisa amepostiwa na theshaderoom ambayo imepost baada comment kutoka kwa Rick Ross ambaye amewahi kufanya kazi na DiamondPlatnumz na hata kua mabalozi wa belaire
 
dah! huyu mal*ya anaendelea kupewa airtime tu... leo waziri wa njuruku kamtunuku ubalozi wa kodi... inawezekana "pochi manyoya" yake inaingiza pato kubwa sana la kodi
Povuuuuu....kama umalaya rahisi Fanya wewee!!!
 
Back
Top Bottom