Hamis Tabasamu: Darasa la Saba aliyewashinda wasomi wabobezi kura za maoni CCM jimbo la Sengerema

Uwezo wako mdogo sana,inawezekana hata darasa la saba hukumaliza.Ngeleja kaingiaje sasa kwenye post yangu?Sina muda wa kubishana na mtu mwenye ubongo mdogo na asiye na hoja
Budagala utakuwa ndelo. Hakuna cha hongo wala nini Tabasamu kashinda kihalali. Pole sana.
 
huwa nikienda ofisi kubwa kubwa na kuongea na hao mabosi wasomi, ukiwasikia utaamini kuwa elimu yetu ni ya ovyo kuliko hovyo yenyewe, mijitu imemeza nondo za kujibia mitihani ikimaliza shule ndio basi! darasa la saba mwenye "exposure" nzuri ni bora kuliko Phd holder wa Bongo! Angalia mh. Mbowe anavyowageuza wasomi CHADEMA kama chapati kwenye kikaango!
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo.

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja.

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Moja ya sifa ya kuwa Mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika.
 
Mimi naamini huyo Std7 ni msomi zaidi kuliko hao wenye madegree. Hilo nimethibitisha kupitia Pro-pesa Li-Pumbavu.

Kwa wale wabunge wasomi wa vijijini nakupeni ushauri wa bure.kabisa. Fungua duka la ushirika kila kijiji ama wadi. Ili wananchi wanapokwama waweze kuwa wanakopa hasa chakula na mahitaji madogo madogo kama mafuta ya taa uniforms za shule hasa kujihimu wakati wanalima. Na waweze kulipa wakati wa mavuno. Ukiweza kufanya hilo utakuwa huna shida ya kuhonga sana wakati wa kampeni.

Imani yangu mgombea aliyeshinda hapo itakuwa mkopeshaji mzuri!
 
Moja ya sifa ya kuwa Mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika.
Zaidi ya kuwa na nafasi ya kuchaguliwa uwaziri PhD haina nafasi yeyote katika uendweshaji wa bunge la Tanzania ambalo maslahi ya chama kwanza mengine baadaye. Pia wasomi wetu wakichaguliwa huwa wanabaki mijini kuliko kuwa karibu na wananchi. Hivyo wapiga kura za maoni yapaswa wapongezwe kwa walilolifanya la kuwapiga chini wasomi. Ikumbukwe wasomi ni vizuri waendelee na ajira zao huko mijini. Akina Mwakyembe wametuthibitishia ukiburi na udhaifu wa wasomi wetu kuhusiana na kutokuwajibika kwa wananchi
 
KAMA HUJAFANYA UTAFITI AU HUNA INFORMATION UNAWEZA KUUAMINI HUU UZI.LAKINI UKWELI NI KWAMBA JAMAA KATOA RUSHWA YA KUFA MTU YEYE PAMOJA NA WAGOMBEA WENGINE ILI WAPATE KURA.WAGOMBEA WALIOKUWA WATIIFU KWA CHAMA KWA MAANA YA KUTOJIPITISHA NDIO WALIOPATA KURA MOJA AU SIFURI.RUSHWA ILIKUWA KUBWA MNO HAPO SENGEREMA NDIO MAANA SASA HIVI WANAFANYA PROPAGANDA KWENYE MITANDAO ILI KU NEUTRALIZE MADHAMBI YAO.WANATENGENEZA PROPAGANDA NA APPEAL FOR PITTY ILI DARASA LA SABA AHURUMIWE NA KUACHIWA USHINDI
Tunangoja Waje Na Hayo Majina Dodoma
Watoa Rushwa Hawana Nafasi Wakatafute Kazi
 
Sawa!! Akienda bungeni ataweza kujenga hoja zilizoshiba? Kuna kamati mbalimbali bungeni, atawekwa wapi? Kwenye maswala ya kukutana na nchi jirani, atawaambia nini wasomi?
Kwani akina Joseph msukuma na, lusinde ambao ni darasa la 7 waliwekwa kamati gani za bunge?

Ubunge umekuwa kazi raisi sana hapa TZ
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Kwani we hujui la Saba wengi wakijikusanya wana akili sana By Steve Nyerere
 
Kwn kuna uhusiano wowote wa elimu ya mtu na maswala ya uchaguzi.

Hizo Elimu zao ni muhimu tuu huko kwenye kada zao.

Wajumbe hawajui hilo, wanachagua mtu aliewashawishi.
Mpaka sasa kuna watu wanafikiri wakisoma sana ndio sifa ya kuchaguliwa wengine wameenda mbali na kutaka wagombea wawe na elimu kubwa wakati kuwakilisha watu kunahitaji zaidi ya elimu ya darasani
 
KAMA HUJAFANYA UTAFITI AU HUNA INFORMATION UNAWEZA KUUAMINI HUU UZI.LAKINI UKWELI NI KWAMBA JAMAA KATOA RUSHWA YA KUFA MTU YEYE PAMOJA NA WAGOMBEA WENGINE ILI WAPATE KURA.WAGOMBEA WALIOKUWA WATIIFU KWA CHAMA KWA MAANA YA KUTOJIPITISHA NDIO WALIOPATA KURA MOJA AU SIFURI.RUSHWA ILIKUWA KUBWA MNO HAPO SENGEREMA NDIO MAANA SASA HIVI WANAFANYA PROPAGANDA KWENYE MITANDAO ILI KU NEUTRALIZE MADHAMBI YAO.WANATENGENEZA PROPAGANDA NA APPEAL FOR PITTY ILI DARASA LA SABA AHURUMIWE NA KUACHIWA USHINDI
tunabamba evidence
 
huwa nikienda ofisi kubwa kubwa na kuongea na hao mabosi wasomi, ukiwasikia utaamini kuwa elimu yetu ni ya ovyo kuliko hovyo yenyewe, mijitu imemeza nondo za kujibia mitihani ikimaliza shule ndio basi! darasa la saba mwenye "exposure" nzuri ni bora kuliko Phd holder wa Bongo! Angalia mh. Mbowe anavyowageuza wasomi CHADEMA kama chapati kwenye kikaango!
Hiyo si kampuni yakesasa watamfanya nini na wao ni waajiriwa tu hapo chadema? REJEA MANENO YA MBOWE KWA MSHINJI.
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Unajua maana ya demokrasia?
 
Sawa!! Akienda bungeni ataweza kujenga hoja zilizoshiba? Kuna kamati mbalimbali bungeni, atawekwa wapi? Kwenye maswala ya kukutana na nchi jirani, atawaambia nini wasomi?

Anaenda kuwa mgonga meza kama wagonga meza wengine,mtu wa ndiyo hata kama jambo halina maslahi kwa wananchi.
 
Mara nyingi hawaongei kwa kutumia logic, kuna namna ya kumkosoa mtu kisomi na akafurahi .Kuna mmoja alisema "Chaka changu kikishindwa nakunywa sumu "
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Demokrasia imefanya kazi,Pongezi nyingi sana kwa huyo mama Tabasamu maana ameangusha magwiji wa siasa na kuibuka kidedea, Huyu ana kipawa cha uongozi na anakubalika
 
Na hivi Ngereja alikua mmoja wa watu waliorekodiwa akiongea na wakina Nape na Kinana basi ndio ntolee hivyo.
 
Back
Top Bottom