Hamis Tabasamu: Darasa la Saba aliyewashinda wasomi wabobezi kura za maoni CCM jimbo la Sengerema

Ana shija sijamuona hapo mbona
Acha Tabasam aongoze anaweza leta mabadiliko Sengerema
Ngeleja tunaomba upumzike tu na buchosa apitishwe Shigongo Tizeba pumzikeni jamani
 
Ngeleja kafanya nini la maana mpaka wajumbe wamchague tena ?Tabasamu yupo na wana Sengerema. Nyie kina Ngeleja,Masha n.k mnaishi Dar mnakuja tu kutafuta ubunge Sengerema. Mkafie mbele.

Kweli kabisa Tabasam muda wote yupo sengerema anaishi sengerema yeye na familia yake na watoto wake baadhi wanaishi sengerema
Wengine ni kuja kuombe kura tu kuondoka kimoja
 
KAMA HUJAFANYA UTAFITI AU HUNA INFORMATION UNAWEZA KUUAMINI HUU UZI.LAKINI UKWELI NI KWAMBA JAMAA KATOA RUSHWA YA KUFA MTU YEYE PAMOJA NA WAGOMBEA WENGINE ILI WAPATE KURA.WAGOMBEA WALIOKUWA WATIIFU KWA CHAMA KWA MAANA YA KUTOJIPITISHA NDIO WALIOPATA KURA MOJA AU SIFURI.RUSHWA ILIKUWA KUBWA MNO HAPO SENGEREMA NDIO MAANA SASA HIVI WANAFANYA PROPAGANDA KWENYE MITANDAO ILI KU NEUTRALIZE MADHAMBI YAO.WANATENGENEZA PROPAGANDA NA APPEAL FOR PITTY ILI DARASA LA SABA AHURUMIWE NA KUACHIWA USHINDI

Sisi watu sengerema tunamtaka Tabasamu anaeishi hapo hapo sengerema mengine mtajijua
 
Hakuna asiejua madudu ya wazi walioyafanya katika uchaguzi huo uzuri vyombo vya usalama vilikuwepo na vilishuhudia matukio mengi ya ubadhirifu muda ni mwalimu mzuri kwangu Martin Lubango alitosha kuiongoza sengerema

Ndio nani huyo weka pichaa basii
 
Hongera Hamis Tabasamu. Huyo Ngeleja hakuna alilofanya Sengerema.
Kwani mbunge anapaswa kufanya nini jimboni zaidi ya kuhudhuria vikao vya bunge na kuwasilisha kero za wananchi bungeni?!

Ni jimbo gani mbunge kafanya nini unachoweza kusema, huyu amefanya tofauti na wabunge wenzake?
 
kitu kimoja tukumbuke pia,hamisi amekuwa hapo sengerema miaka yote shughuli zake nyingi ni hapohao 24x7
hivyo maingiliano yake na wanasengerema hayawezi kuwa sawa na wasomi uliowataja kwa sbb wao wanaokana jimboni wakati kama huu tu
wa kupiga siasa, hamis for almost 15yrs 24x7amepiga siasa sengerema. fikiria tu mfanyabiashara mkubwa kautaka ubunge mara 3mfululizo ni wa hanuhanu anahudhuria vikao vya nzengo,harusi,misiba na michango anatoa. unategemea atakosa kura nyingi kwenye jamii zetu hizi eti sababu ya usomi?!!!?.Nampongeza kwa sababu hakukata tamaa amepigana sana hatimaye nuru kaanza kuiona naamini ana jambo kubwa anataka kuwafanyia wanasengerema tumuombee azidi kungára kwenye vikao vya juu.
KWA HIYO ISSUE HAPA SI USOMI.

Wasome hii hapa umemaliza kabisa
 
Kwani mbunge anapaswa kufanya nini jimboni zaidi ya kuhudhuria vikao vya bunge na kuwasilisha kero za wananchi bungeni?!

Ni jimbo gani mbunge kafanya nini unachoweza kusema, huyu amefanya tofauti na wabunge wenzake?
Wanavyotoaga ahadi kumbe ni uongo ?Mara nitamsumbua waziri wa maji atujengeee miundo mbinu ya maji. Sijui hospital,shule,fursa n.k.
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Tabasamu aliporwa ushindi 2015 ni moja ya jimbo ambalo CHADEMA walilipoteza kwa kuporwa ushindi.

Nyamagana
Songea mjini
Shinyanga mjini
Sengerema
Urambo mashariki
Kasulu kusini
Tabora Mjini.

Kwa hiyo Tabasamu kumshinda Ngeleja ilikuwa wazi tu maana tayari alishampiga kwa wananchi.

Cha pili kusoma sana siyo kuwa na uhakika wa kushinda uchaguzi wapiga kura wanachagua anayezungumza lugha yao kwa maana ya matatizo yao siyo kuwapelekea vyeti tu.
 
Weka picha tulione tabasamu lake!

IMG_3821.JPG

Hatuhitaji tabasam usoni
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Kilichoshinda Sengerema ni hela!
lakin mkuu mbona mwaka 2015 huyo ngereja alipata kura za ccm zenye utata 48,000, mji wa sengerema ulipigwa mabomu usiku kucha, tabasam chadema alipata kura 39840, sheja mabu udp 3600, waache rohombaya. we kubali tu jamaa anapendwa na wananchi kua dalasa la saba wala sio tatizo.wananchi wamechoka kudanganywa wanataka vitendo mzee.
 
Wanavyotoaga ahadi kumbe ni uongo ?Mara nitamsumbua waziri wa maji atujengeee miundo mbinu ya maji. Sijui hospital,shule,fursa n.k.
Huo ni uongo, pesa za serikali hawana mamlaka nazo. Mipango ni ya yule aliyeko madarakani namsanisha rais. Wengine wote hata mawaziri huomba kwa rais, waziri ana mamlaka ya kiuongozi tu wizarani, hawezi kuchepusha pesa hata kidogo kwenda kwenye mradi ambao rais haufahamu. Hii ni hata jimboni kwa waziri husika.

Yani ubunge hata mimi naweza kuwa mbunge tena nikawa bora zaidi. Uhitaji elimu yoyote.

Darasa la 5 anaweza kuwa mbunge mzuri tu.
Kuomba mbona tunao omba omba wazuri tu miji yote Tanzania?
 
Sawa!! Akienda bungeni ataweza kujenga hoja zilizoshiba? Kuna kamati mbalimbali bungeni, atawekwa wapi? Kwenye maswala ya kukutana na nchi jirani, atawaambia nini wasomi?
Msukuma, Kibajaji wameweza hayo, yeye ni nani ashindwe? Ataweza tu.
 
Hao wasomi wengi wanagombea ili kupata ubunge Kisha kuvizia uwaziri .sio kupigania matatizo ya watu wao.wanajipendekeza mno kwa serikali ili wapate teuzi hawapiganii maslahi ya waliowachagua .pia wengi wanatokea nje ya majimbo hawatoshi matatizo ya sehemu husika.
Sengerema Kama Tunduru kaskazini STD7 kawachapa wenye degree . Tena mwanamke Sikudhani chikambo kura436 anayemfuatia pia Hassan STD7 Kura 180.
Engineer Ramo aliyekuwa mbunge na naibu waziri maliasili Kura 99.elimu yake haikuwa na maana yoyote kwa watu wa Tunduru kaskaziini.
 
Ngeleja kafanya nini la maana mpaka wajumbe wamchague tena ?Tabasamu yupo na wana Sengerema. Nyie kina Ngeleja,Masha n.k mnaishi Dar mnakuja tu kutafuta ubunge Sengerema. Mkafie mbele.
mwanzoni wakati wanamchagua hawakujua kama anaishi Dar? au baada ya ubunge ndio alihamia Dar?
 
Kweli kabisa,mleta mada anatumika.Bila shaka kapewa rushwa pia.Huyo jamaa ni bepari,pamoja na kuwa na huo ukwasi bado ana njaa na tamaa ya kutaka kuingia bungeni.Anataka akafanye nini huko?kichaka cha kulinda mali zake.Kama ana pesa si alipe kodi tu na kuchangia shughuli za maendeleo.Bunge lijalo linahitaji brain za kukabiliana na wakenya na vita ya uchumi.Darasa la saba muda wao umeisha
Hao wasomi walitakiwa kuliona hilo nakubadirisha katiba kwa kusema darasa la 7 hawatakiwi bungeni, badara yake wapowapo tu wanaisubiri serikali ilete mswada wapongeze.
 
Sawa, Kibajaji na Msukuma wanaweza japo spika anahangaika awapange wapi kamati ya bunge isiyohitaji usomi. Ila wangekuwa na vidato vya kutosha wangetisha.
 
Back
Top Bottom