mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Upepo wa Ukawa utazoa wengi
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Dr.Hamis Kigwangala Mbunge wa Nzega ameonesha nia ya kuhamia CHADEMA.
Kwa taarifa hizo zilizotufikia zinasema kwamba Kigwangala anatarajia kuhamia CHADEMA mara baada ya Bunge kuvunjwa June 30, 2015.
Taarifa inasema atahamia baada ya kuvunjwa Bunge, haisemi atahamia ili akagombee huo Urahisi unaousemaSidhani kama anahamia huko ili akapate urahisi wa kugombea nafasi ya URAHISI!! WA TANZANIA katika uchaguzi ujao
Usjar. Kila shetani na #Mbuyu wake. Time never lies. It will direct & tell what to do and when.
Right?
CCM ni kama Sir Alex Ferguson. Mchezaji akijifanya much know ; tupa kule.
Kama ni harakati za ukweli,kufa na kupona,mbona kina mwakyembe na Filikunjombe wanazichapa sana. Kwamba yeye kaona shida gan?
Napendekeza aendage Chadema tu. Yaana tutakuwa tumeuza #galasa kama tulivowauzia #SHIBUDA . Mlijua ni jembe. Sasa mnahaha nakuliona zigo la mavi.
Si hao tu kwani Mtanzaia yeyote ambaye alizaliwa kabla ya Mwaka 1992, elewa alikuwa CCM.
Lakini kutokana na UOZO uliopo tukaamua kujiondoa na kushabikia UKAWA.
Lazima tuwaondoe Viongozi wabovu wa CCM madarakani mwaka huu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Kaka hivi Viingereza tuwaachie wenyewe wanaovijua, mimi na wewe wa sekondari hizi zetu za kata, tukikumbatie kiswahili chetu tu.
Maana sidhani kama hata wewe mwenyewe unakielewa ulichokiandika, seuze sie?
acha mawazo mgando nan kakudanganya et kila aliyezaliwa kabla ya kuanza mfumo wa vyama vingi wote ni ccm!labda kwenu.