Hamis Kigwangala kuhamia CHADEMA

Hamis Kigwangala kuhamia CHADEMA

Si hao tu kwani Mtanzaia yeyote ambaye alizaliwa kabla ya Mwaka 1992, elewa alikuwa CCM.

Lakini kutokana na UOZO uliopo tukaamua kujiondoa na kushabikia UKAWA.

Lazima tuwaondoe Viongozi wabovu wa CCM madarakani mwaka huu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
mkuu speak for yourself,sijawahi kuwa ccm.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Dr.Hamis Kigwangala Mbunge wa Nzega ameonesha nia ya kuhamia CHADEMA.

Kwa taarifa hizo zilizotufikia zinasema kwamba Kigwangala anatarajia kuhamia CHADEMA mara baada ya Bunge kuvunjwa June 30, 2015.

Hatimaye na sisi CDM tumepata mgombea Urais bora tena anatoka CCM
 
mkuu speak for yourself,sijawahi kuwa ccm.

Yaani marekebisho ya katiba kuruhusu Vyama vingi Tanzania ilikuwa mwaka 1992.

Hivyo kwa wale ambao mwaka 1992 walikuwa na umri ni dhahiri walikuwa ni wa chama kimoja. Na wakati ule ilikuwa ni CCM. Je, hapo mkuu unaweza kukana kuwa hukuwa ndani ya CCM hata kama ulikuwa huna kadi ya CCM.

Tulipoanza vyama vingi tukawa na uamuzi wa kujiunga na chama kingine kwani tupo huru kuchagua lakini ndani ya chama kimoja utachagua kipi.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Si hao tu kwani Mtanzaia yeyote ambaye alizaliwa kabla ya Mwaka 1992, elewa alikuwa CCM.

Lakini kutokana na UOZO uliopo tukaamua kujiondoa na kushabikia UKAWA.

Lazima tuwaondoe Viongozi wabovu wa CCM madarakani mwaka huu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Anakaribishwa ila ajue cdm ni kuwajibika
 
Mie nadhani wanaotaka kuhamia huko waseme sasa hivi kwa uwazi tuu na wakifukuzwa chama waende mahakamani walinde ubunge wao. Mbona Hamad Rashid bado ni mbunge kwa tiketi ya CUF wakati anajitangaza waziwazi kuwa ni mlezi wa ADC? Kwa nini iwezekane kwa CUF na sio kwa CCM?
Wale wa kujitoa huko wajitoe tuu wasiogope ili wafahamike misimamo yao mapema.
 
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Dr.Hamis Kigwangala Mbunge wa Nzega ameonesha nia ya kuhamia CHADEMA.

Kwa taarifa hizo zilizotufikia zinasema kwamba Kigwangala anatarajia kuhamia CHADEMA mara baada ya Bunge kuvunjwa June 30, 2015.
DUUUU UMEVUTA BANGI LA MALAWI? au NI VIROBA VYA CHADEMA VIMEANZA KUFANYA KAZI?
 
Huyu si alisema Tundu Lissu ni mgonjwa wa akili na yeye aliwahi kumtibu?
Anakuja kufanya nn kwenye chama kinachoongozwa na mwanasheria insanity? AKAE HUKOHUKO VINGINEVYO AKANE MANENO YAKE......
 
mpaka novemba mwaka huu wabunge wa ccm
watakuwa wameshahama ccm
 
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Dr.Hamis Kigwangala Mbunge wa Nzega ameonesha nia ya kuhamia CHADEMA.

Kwa taarifa hizo zilizotufikia zinasema kwamba Kigwangala anatarajia kuhamia CHADEMA mara baada ya Bunge kuvunjwa June 30, 2015.

Alionyesha dalili ya kuichoka ccm tangu sakata la escrow lianze kujadiliwa bungeni,naskia bulaya na filikunjombe nao wanapiga jalamba kuja cdm.
 
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Dr.Hamis Kigwangala Mbunge wa Nzega ameonesha nia ya kuhamia CHADEMA.

Kwa taarifa hizo zilizotufikia zinasema kwamba Kigwangala anatarajia kuhamia CHADEMA mara baada ya Bunge kuvunjwa June 30, 2015.

Akili za kuambiwa changanya na zako, habari kama hizi ni rahisi sana kutoka kwa watu au kambi ya watu waliotangaza ni CCM kama sehemu ya mbinu ya kupunguza kero za ushindani wa kuwania kuteuliwa. Hatudanganyikiiiii! Hamisi Kingwagala ni kada wa CCM sio chadema, na abaki hukohuko. Vinginevyo ajitokeze mwenyewe hadharani kutangaza kuhamia CDM na aseme sababu zake. Tusimsemee!!!!
 
ana jipya lipi ataleta chadema?
I bet huu ni uongo
 
hatutaki makapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kweli vijana wa lumumba mna kazi. Mkaona kuwa CDM tuna shida ya magalasa?? Haya bana ila tunatamani tu kuongoza bunge lijalo na kuwa na PM kutoka upinzani. Hili lawezekana kwa kupokea hata hao Vingwangwala wenyu. Ili kujaza mto mafuriko yatokee. CCM iwe upinzani.
Ee Mola wetu, uonaye na kusitiri yote. Hili litokee bado ningali hai, this coming 2015 October. Tumechoka kuona watu wakijihesabia haki kuchota fweza kwa mafuko ya sandalusi wakati wenzao kule Kilosa wakilala kwenye mifuko ya rambo kutokana na mafuriko yalowakumba bila taarifa. Sikia kilio cha wale watoto wachanga wanaoliwa na mbu huku fweza zikipigwa viyoyozi ati ni mgawo wa mzee. Taarifa nyingine sidhani zinamfikia Mungu. Ptuuuuu.
Tuombe; Eee Mungu, watibue watikise, mpaka wajione kizunguzungu, watimkie UKAWA tulipindue hili jinamizi mwaka huu Oktoba.
 
Back
Top Bottom