Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Kwahiyo alikua kaenda kusoma kilimo au kupigana na hamas?
 
Ni kashfa kubwa kuhusu Joshua Mollel na serikali.
Aliyekufa Urusi angalau ilielezwa kuwa alikuwa mfungwa aliyekubali kujiunga na Prighozin ili baadae aachwe huru.
 
Haya na hiyo bullet proof alivaa ya nin? Kasema baba yake siyo mimi. Na alikua na wanajeshi wa 5 ambao waliuliwa hapo hapo bado tu akili yako haijafunguka? Hata kama huwapendi hamas lakini penye ukweli simama kijana wetu alikua anapigana upande wa IDF sasa mwanajeshi kufa vitani ni ajabu?
 
Israel wameshambuliwa bila Sababu?
waliwatimua wahamiaji waliovamia ardhi yao tangu enzi za mababu zao, wahamiaji wanadai ardhi ni yao na kuwashambulia wenye ardhi tangu enzi na enzi
 
Maelezo ya baba mzazi yameweka wazi kuwa alikuwa askari.Katumia neno alikuwa kambini.
Ile video iliyosambazwa ya kifo chake alikuwa na vest ya kijeshi pia.Na narudia kuwa waliomkamata walipata hasria baada ya kugundua kitu fulani mpaka wakawa wanazozana na kiongozi wao kabla kumuua
 
Kinacho leta sinto fahamu ni serikali kutojitokeza kutolea ufafanuzi wa hili jambo wamekaa kimia sijui wana ficha nn hasa ambacho hatutakiwi kujua ,yaani maccm ni majitu ya hovyo sana.

Nikifikiria kijuu juu tu, Serikali ipo kimya kwa kifo cha raia wake kwa sababu haitaki kuchukua upande katika hilo sakata la middle East

Imagine, Inaacha mzazi wa mtu husika ahojiwe kwa issue very sensitive na kama hiyo haitoshi, anaachiwa kutoa taarifa ambayo haipo wazi yenye kuleta confusion ambayo imeegemea katika kuleta justification ya kifo.

Sijui ni nini cha kufikiria ila nina uhakika matukio mawili yanaonesha kuna damage control.
 
Magaidi wa kiislamu wafusia wa allah kundi la Hamas ndio walio muuwa Joshua
Na balozi anaewakilisha palestina na eneo la gaza tunae hapa nchini.
Kama ungekuwa smart ungejua kuna maswali ambayo hayajibiwa
1. Kwa nini Joshua auwawe na kuchukuliwa mwili wake ila askari wa Israel wauwawe na kuachwa hapo
2. Tangu lini waislam (hata kama ni waasi) wakakaa na mwili wa mtu aliyekufa
3. Umewahi kuona au kusikia video yoyote ya mtu aliye uwawa katika hiyo vita na kurecodiwa video nzuri vile wakati anauwawa
4. Kusema Allah akbaru kusikuchanganye; Kwani muislam akisema Yesu! maana yake ni Mkristo!
5. Pengine hata hizo sare mnazo ita za kijeshi alivalishwa kabla ya kufanyiwa huo unyama ili kuchanganya watu
6. Nahisi sababu za kifo chake hazikuwa zinaeleweka vizuri (zipo kama movie) na ndio sababu wakaona Mzazi wake aende akaelezewe mwenyewe....

Sitaki kuhukumu ila kinacho onekana hapa ni kama vile, kijana wetu ametolewa kafara kufanya kundi moja liungwe mkono na watu weusi!
 
Hiyo Octoba 7 walikua wanaua na kuteka wanajeshi peke yake? Wale watoto wote waliouawa ni wanajeshi? Wewe ukiona mashambulizi kama hayo ukaona sehemu inayo kugarantee usalama hataenda? Kiona bullet proof hautichukua uivae kujilinda? Au ukipewa hsutaipokea?
Huwa mnafikiria kweli?
 
Yule mzee kapagawa na wanamchanganya tu ,media za kibongo jau sana yaani hata hajatulia plus kupoteza mtoto hata sikukuu hajakuwa fresh...kuna sehemh kasema 2029.

Mzee wamempeleka huko sio sawa naona kwa vile tayri dogo kashakufa na mwili wanadai haupo ,sasa kaenda kufanya nn?

Wamuache jamani yule ni binadamu bado apate dhihaka huko mitandaoni 🥹🥹 watu watamfanya meme.
 
Tatizo wanafikiria content tu lakini bado sichukulii hiki kitu kama ni cha kawaida.

Naamini katika situation hii, serikali ingekuwa imeshaifikia familia na kuwaomba wasitoe tamko hadi uchunguzi ukamilike

Sasa kama baba mzazi atoe tamko kirahisi lenye kuleta mushkil zaidi. Siddhant kama ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…