Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

J93

Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
55
Reaction score
159
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!

Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.

Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.

Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.

Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.

Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.

View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==
 
Twende taratibu....

Au tuache kabisa...
 
Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
 
Kufuatia kifo Cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na Kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua!

Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia!
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae Kama raia wa kawaida ama ni mazingira Gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof!

Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili,wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka!

Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka!

View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==

Dawa yake amekipata alichokuwa anakitafuta akakarangizwe huko mototni
 
Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
cha ajabu nini kama alikwenda kujifunza ukomando bahati mbaya akafia field?
 
Kinacho leta sinto fahamu ni serikali kutojitokeza kutolea ufafanuzi wa hili jambo wamekaa kimia sijui wana ficha nn hasa ambacho hatutakiwi kujua ,yaani maccm ni majitu ya hovyo sana.
 
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua!
Ile clip ilionyesha kavaa hicho kifaa!?
Kuna dalili ya serikali fulani kufunguliwa masitaka
 
Kinacho leta sinto fahamu ni serikali kutojitokeza kutolea ufafanuzi wa hili jambo wamekaa kimia sijui wana ficha nn hasa ambacho hatutakiwi kujua ,yaani maccm ni majitu ya hovyo sana.
Unataka serikali ijitokeze kutolea maelezo, ukiona kimya jiongeze uchakate taarifa mwenyewe utapata jibu
 
Back
Top Bottom