Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Mmh sasa drake and chris brown unawaweka kundi gani
Ukwaju ...Du ni kweli kabisa dada zetu wakifumiana wanachangia Bw mmoja ni mingumi tuKama ni wife je?
Du ni kweli kabisa dada zetu wakifumiana wanachangia Bw mmoja ni mingumi tu
Lakini Wanaume ni furaha na sanasana ni kumuongezea misifa kibao!!!!!!!!!!
mara kamchezo anatoa
mara kiuno usiombee
Kweli wanaumme tunapendana
Lakini asiwe mkeo eti mchangie na jamaa???!!!!
Bila kuzomeaNaunga mkono hoja.