Mzee wa fund
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 514
- 90
Enzi hakuna ukimwi wanaume hata watano ilikuwa haina noma kupinga mtungo aka mande demu mmoja
Umenikumausha mwishoni mwa 80's na mwanzoni mwa 90's.ishu za mande zilikuwa nyingi sana.
Enzi hakuna ukimwi wanaume hata watano ilikuwa haina noma kupinga mtungo aka mande demu mmoja
Mmh sasa drake and chris brown unawaweka kundi gani
Kama ni wife je?
Mmh sasa drake and chris brown unawaweka kundi gani
TAARIFA
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Costantine Massawe, tukio hilo limetokea mapema Novemba 11, 2012, majira ya saa 12 asubuhi wakati Bakari akiwa nyumbani kwake ambapo alivamiwa na Salehe Ibrahimu mwenye umri wa miaka 36, na kumjeruhi kichwani na kitu chenye ncha kali kisha kumkata kichwa.
Kamanda Massawe amesema kuwa, baada ya tukio hilo, Ibrahimu, amekamatwa na wananchi ambao wamesikia kelele za kuomba msaada kutoka kwa Bakari.
Jeshi la Polisi limemuhoji mtuhumiwa kwa ajili ya kubaini chanzo cha mauaji hayo na kugundua kuwa, ni wivu wa kimapenzi kwa kuwa walikuwa wanagombea mwanamke.