Hamadi Rashidi achoma moto misumeno 40 huko Visiwani Pemba

Hamadi Rashidi achoma moto misumeno 40 huko Visiwani Pemba

Hao waloingiza nchini kama imepigwa marufuku wameshahukumiwa? Au ni TV show tu hii. Anaharibu evidence.
 
Huyu siku akiingia kwenye anga za wapemba watamfuturu bila nanihii
 
Chain Saw ni hatari kwa misitu yetu lakini ni zana nzuri sana kwenye uvunaji....inarahisisha sana!
 
Pemba napo kuna misitu au vichaka?!
Maana niliwahi kwenda kile kinachoitwa msitu wa Jozani Unguja nilipofika nikabaki nimeduaa kuona kile nilichoambiwa kuwa ni msitu.
 
Kuna watu ni wanafiki humu sijapata kuona......yaani ushabiki wa kisiasa umewafanya kuwa mazezeta wa kufikiri.......
Mtu yupo radhi kumtetea mbakaji kwa kuwa aliyebaka ni wa upande wake na mbakwaji ni wa upande wa pili.....
Huo utaratibu alioufanya huyo waziri upo kwa mujibu wa sheria kama wadau wanavyotuhabarisha.....sasa kuna ubaya gani kwa kiongozi kusimimia sheria.....!!!!

Alafu unakuta jitu hilo hilo linakaa na kulaumu viongozi kwa kutosimamia misitu...na uharibifu wa mazingira.....!!!!!

Hata kisu ni kifaa bora cha matumizi ya nyumbani lakini kikitumika katika uharifu na kusababisha madhara kwenye jamiii....kinageuka kuwa kifaa cha hatari dhidi ya uhai wa mwanadamu......
Mwenye kukamatwa nacho kitachukuliwa kama kidhibiti na kitendea kazi hiyo......sasa je baada ya kesi kuisha ndugu wa mhukumiwa wataruhusiwa tena kukiomba kile kisu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.......!!!,??

Hao walizinunua hizo machine kwa ajili ya matumizi yao halali lakini kinyume chake wakazitumia ndivyo.....ni kama vile kununua gari alafu ukalitumia kwenye uhalifu.....
 
Amewafanyizia wa CUF, I guess!
Umesema ukweli kwani zoezi limefanyika Pemba tu sijaiona ya watu wa Unguja. Na hii inathibitisha kuwa analipa kisasi kwa wapiga kura wa Pemba waliomkataa siku nyingi. Siasa za aina hii za kukomoana zitaleta shida zaidi mbeleni na si ajabu Pemba ikajitenga na Unguja kama ilivyokuwa Ngazija.
 
QUOTE="CHUAKACHARA, post: 16891250, member: 45260"]Amewafanyizia wa CUF, I guess![/QUOTE]
Hata akigombea ubalonzi wa nyumba kumi,hawezi kuchaguliwa huko pemba,anabahati kupata uwaziri wa LUZUKU
 

Hamadi Rashidi ambaye ni waziri katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ameteketeza moto misumeno 40 aina ya Chain Saw ambayo imekamatwa kwenye operation ya kupambambana na waharibifu wa misitu na vyanzo vya maji. Kila msumeno una thamani ya zaidi ya tsh 1.5 milioni.

Source: ITV

Hizi ni dalili kuwa wapinzani wakipata nafasi........
Wapinzani? au upepo umebadilika????
 
KWANI NI PEMBA TU ZIKO?
HUO NI MUENDELEZO WA CHUKI DHIDI YA WAPEMBA
 
Moshi ukidakwa nayo ni bora udakwe na pembe za ndovu! Au ukihisiwa unayo nyumbani unadakwa nayo na faini milion 5 na kifungo miaka 5 hamna cha mahakamani ni kupoteza mda!!
... Moshi sehemu gani?
 
Back
Top Bottom