sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Hamadi Rashidi ambaye ni waziri katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ameteketeza moto misumeno 40 aina ya Chain Saw ambayo imekamatwa kwenye operation ya kupambambana na waharibifu wa misitu na vyanzo vya maji. Kila msumeno una thamani ya zaidi ya tsh 1.5 milioni.
Source: ITV
Hizi ni dalili kuwa wapinzani wakipata nafasi........